Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

Msingi tu iwe 13m?! Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia!

Kama hiyo 13M ni labor charges pekee, naona ni ninyi kiasi

Ukiweza jaribu kumshusha hadi 7.5M

Otherwise tumia Zopa style
Hiyo zopa style nipe maelekezo. Angalau hiyo 7.5m maana hata mimi niliweka 6m
 
Asante mkuu kwa ushauri. Structural design lazima izingatiwe. Kuhusu nondo anayesema hapa ni structural engineer. Ila mengine fundi anaingezea mwenyewe. Mf hiyo sehemu yenye paa la kawaida mchoro umeweka beam na nguzo nondo 12mm kupunguza gharama. Yeye fundi anakomaa tutumia 16mm tu kama huku kwenye slab
Kwanini usiongee na huyo structural eng akawa anakuja kukagua kazi?

Pia ni slab gani kwenye hii dunia ina nondo za 16mm?
 
Kwanini usiongee na huyo structural eng akawa anakuja kukagua kazi?

Pia ni slab gani kwenye hii dunia ina nondo za 16mm?
Structural yupo busy sana, maana ramani tu katumia 2months.
Hiyo 16mm nilimaanisha kwenye beam ya msingi kwenye eneo lenye paa lenye slab. Slab ni 12mm.
Maana yangu ni kwamba msingi wa kushoto ni 16mm, msingi wa kulia 12mm kwa kuwa mzigo wa juu sio mkubwa. Ila fundi yeye anataka kote niweke 16mm
 
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

🪖🦺 Shebwa Masonry Contractor 🪖🦺
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
🪖. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
🪖. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
🪖. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
🪖. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
🔨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

🔨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)

⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.

🔨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

🔨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:

⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.

🔨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

🔨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Guarantee ya mnatoa muda Gani matazamio ya kazi zenu Kama Kuna shida mnakuja kurekebisha na hela mnaacha shilingi kwa mteja. Ama nyie mnawaza kushika hela ya mtu fasta.
Umesajiliwa ama Ile kienyeji tu Kama mtu asiyejulikana , niambie umesajiliwa wapi Kama umesajili kazi zako ama unataka Imani na kufahamiana
 
Construction area ni sqm ngapi? Na huo ni ufundi kwa structure yote ground hadi floor ya kwanza?
Hiyo ni ufundi kwa msingi mpaka kumwaga jamvi na kumwaga zege la nguzo.
Area ni 148 sqm jengo lote, msingi una urefu wa 100m. Nguzo zitakuwa 18 ambazo atamwaga kimo cha 3.9m pekee
 
Hiyo zopa style nipe maelekezo. Angalau hiyo 7.5m maana hata mimi niliweka 6m
Zone of Possible Agreement (ZOPA), also known as the bargaining range, is the area where two or more parties can find common ground and potentially reach a mutually agreeable outcome.

Kama ulitaja 6m ndiyo zone yako, kwahiyo kutokea hapo mtaweza kufanya negotiations ili kufikia point ya kukubaliana bei ya kazi ambayo wewe na yeye mtakubaliana
 
Hamkunielewa tu, ila nimefafanua post #49
Nimesoma hiyo post #49 bado sijaona ufafanuzi wa kwanini au za nini nondo size 16mm ? Hizo nene sana. Hiyo bei mtafikia muafaka tu.
Ni lazima apunguze.
Note: Mimi siyo engineer.
 
Back
Top Bottom