Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Asante mkuu. Kazi kama hiyo ungefanya kwa bei ganiMimi nnamini katika ubora sio siasa. Kazi zangu huwa nasimamia mwenyewe na huwa natoa maelekezo kwa mafundi kuanzia ratio nk nk! Material na estimate mwenyewe na akifika site anafwata nnachosema na sio kingine.
NB: kama huna experience ya uhandisi jiandae kila saa kuhisi unapigwa tu!
Fundi ndio anataka 13m ya ufundi tuNunua kwanza matirio
Tofari nzito 1500 Nondo 16mm, 20 Kokoto mende 2 Mchanga mende 2 Mawe mende 1Ita fundi uzungumze naye, ukikosa kabisa fundi, nicheki nikupatie vijana waliokwisha nifanyia kazi kwa bei nzuri.
Kunipiga vifaa hawezi, nasimamia mwenyewe. Labda anipige kwenye ufundi na matumizi ya vifaa isivyo lazima mf sehemu ya nondo 12mm atumie 16mmKama utajenga kwa SIMU lazima upigwe mpk Damu ikutoke sw.
KAZI ni kipimo cha utu
Kwa ukubwa wa picha uliyoweka, haitakiwi kuzidi mil. 4; huyo atakuwa ni dalali, ili achukue kazi awalipe mafundi.Fundi ndio anataka 13m ya ufundi tu
- Tofali nzito zipo 2150
- Nondo 16mm zipo 75
Kuna fundi namjua mwaminifu na ana bei nzuri kama unahitaji sema naye umsikilize umsikie mkielewana poa ukiona naye hakufai unaachana naye.Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.
Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.
Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.
Nini tena niweke isaidie kupata picha?
Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
Mkuu kwani hiyo kazi yako haika dizainiwa na injinia? Kwanini una beti kwenye mambo ya msingi? Anayeamua hapa ikae nondo ya 16mm au 12mm ni wewe? Fundi? Au mtu aloyesanifu hilo jengo lako/mchoro?Kunipiga vifaa hawezi, nasimamia mwenyewe. Labda anipige kwenye ufundi na matumizi ya vifaa isivyo lazima mf sehemu ya nondo 12mm atumie 16mm
Ikiwezekana ampeleke eneo akaone saiti pia.unless unataka msingi uwe na ratio ilioshiba, au pia ramani ipo complicated kidogo, japo hata kama ni hivyo, ila kwa hivo vipimo maybe 6-8M maximum ndio inaweza fika, but ni vema umuulize fundi not foreman, mpelekee ramani fundi yeyote tu umpe hata ya soda umwambie akwambie huo msingi wa hio nyumba inaweza fika sh ngapi? akuchambulie akwambie utajua.
NOTE: Usimwambie ni yako, mdanganye tu ni ya mzazi wako yupo mkoani amekuuliza ndo unamtaftia jibu.
Boss , ombi langu moja tu , tujulishe na mchakato wa gharama itavyoenda , nahitaji kufanya kitu kama hiyo ramani ilivyo nahitaji jua gharamaView attachment 3287916
Linataka kufanana na hii.
Ok,ila bado,6.2m ni urefu wa sebule za nyumba za chini,12.9m..yaani haizidi ile 18 ya uwanja, penalty areaAcha dharau mkuu. Ila imeboreshwa, juu pana 6.2mX 12.9m ikawa na rooms
Asante mkuu kwa ushauri. Structural design lazima izingatiwe. Kuhusu nondo anayesema hapa ni structural engineer. Ila mengine fundi anaingezea mwenyewe. Mf hiyo sehemu yenye paa la kawaida mchoro umeweka beam na nguzo nondo 12mm kupunguza gharama. Yeye fundi anakomaa tutumia 16mm tu kama huku kwenye slabMkuu kwani hiyo kazi yako haika dizainiwa na injinia? Kwanini una beti kwenye mambo ya msingi? Anayeamua hapa ikae nondo ya 16mm au 12mm ni wewe? Fundi? Au mtu aloyesanifu hilo jengo lako/mchoro?
Ushauri.
Kuna wataalamu wako mtaani hawana kazi, tafuta kijana/injinia mwemye uzoefu hata wa mwaka mmoja mpe asimamie hiyo kazi. Au huyo injinia aliye design huo mchoro mlipe kidogo awe anakuja kusimamia zile stage za muhimu! Leo utabania laki 5 au 1m alafu mwisho wa siku utajikuta umepoteza zaidi kama sio wewe na familia yako mdondokewe na hilo jengo.
Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.
Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.
Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.
Nini tena niweke isaidie kupata picha?
Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
Mimi inanitosha mkuu. Hapo nina room kubwa moja yenye min sitting, bed room , dressing room na choo. Kisha room ndogo 1Ok,ila bado,6.2m ni urefu wa sebule za nyumba za chini,12.9m..yaani haizidi ile 18 ya uwanja, penalty area
Fundi ndio anataka 13m ya ufundi tu
- Tofali nzito zipo 2150
- Nondo 16mm zipo 75
- Cement zipo 150. Anasema haitoshi msingi na nguzo