Kama hiyo 13M ni labor charges pekee, naona ni ninyi kiasiMaelezo yako yamefanya ni-edit uzi. Hiyo 13m ni bei ya fundi kujenga msingi na nguzo. Materials hayapo hapo
Hiyo zopa style nipe maelekezo. Angalau hiyo 7.5m maana hata mimi niliweka 6mKama hiyo 13M ni labor charges pekee, naona ni ninyi kiasi
Ukiweza jaribu kumshusha hadi 7.5M
Otherwise tumia Zopa style
Kwanini usiongee na huyo structural eng akawa anakuja kukagua kazi?Asante mkuu kwa ushauri. Structural design lazima izingatiwe. Kuhusu nondo anayesema hapa ni structural engineer. Ila mengine fundi anaingezea mwenyewe. Mf hiyo sehemu yenye paa la kawaida mchoro umeweka beam na nguzo nondo 12mm kupunguza gharama. Yeye fundi anakomaa tutumia 16mm tu kama huku kwenye slab
13m ni ufundi?Maelezo yako yamefanya ni-edit uzi. Hiyo 13m ni bei ya fundi kujenga msingi na nguzo. Materials hayapo hapo
Ndio, ufundi pekee. Chakula na vifaa vya kukodi anasema ni juu yangu13m ni ufundi?
Structural yupo busy sana, maana ramani tu katumia 2months.Kwanini usiongee na huyo structural eng akawa anakuja kukagua kazi?
Pia ni slab gani kwenye hii dunia ina nondo za 16mm?
Construction area ni sqm ngapi? Na huo ni ufundi kwa structure yote ground hadi floor ya kwanza?Ndio, ufundi pekee. Chakula na vifaa vya kukodi anasema ni juu yangu
Guarantee ya mnatoa muda Gani matazamio ya kazi zenu Kama Kuna shida mnakuja kurekebisha na hela mnaacha shilingi kwa mteja. Ama nyie mnawaza kushika hela ya mtu fasta.🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro
🪖🦺 Shebwa Masonry Contractor 🪖🦺
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.
Kwa Nini Utuchague?
🪖. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
🪖. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
🪖. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
🪖. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango
Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
🔨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.
⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):
🔨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)
⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.
🔨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.
⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.
🔨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:
⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.
🔨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:
⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin
🔨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma
⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.
Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hiyo ni ufundi kwa msingi mpaka kumwaga jamvi na kumwaga zege la nguzo.Construction area ni sqm ngapi? Na huo ni ufundi kwa structure yote ground hadi floor ya kwanza?
Kwanini usiongee na huyo structural eng akawa anakuja kukagua kazi?
Pia ni slab gani kwenye hii dunia ina nondo za 16mm?
Unataka mwenzio apate majanga km yaliyotukuta kkoo 😥Leta mie nikusimamie mziya happ nusu ya gharama umemaliza
we nae, sio gharama ya vifaa, tunaongelea ya fundiUna utani sana kwa ghorofa hakuna msingi wa 6-8m ,hiyo ni nyumba ya kawaida ..
Hamkunielewa tu, ila nimefafanua post #49Mimi siyo engineer lakini nimeshituka hiyo size ya nondo.
Unajenga ghorofa ya packing ya gari ghorofani?!!!
Samahani!we nae, sio gharama ya vifaa, tunaongelea ya fundi
Zone of Possible Agreement (ZOPA), also known as the bargaining range, is the area where two or more parties can find common ground and potentially reach a mutually agreeable outcome.Hiyo zopa style nipe maelekezo. Angalau hiyo 7.5m maana hata mimi niliweka 6m
Wewe kweli mjinga, kwa hiyo hata kama ninazo nitakuwa natoa tu kifala.achana na gorofa.pesa huna .usije ukaleta ya kariakoo .
wenye nazo uwa hawaulizi maswali kama haya.Wewe kweli mjinga, kwa hiyo hata kama ninazo nitakuwa natoa tu kifala.
Nimesoma hiyo post #49 bado sijaona ufafanuzi wa kwanini au za nini nondo size 16mm ? Hizo nene sana. Hiyo bei mtafikia muafaka tu.Hamkunielewa tu, ila nimefafanua post #49
Nanukuu:Lakini hujatoa ufafanuzi kama kwenye hiyo bajeti imehusisha nondo/kokoto/saruji/Mchanga na materials nyingine kama Maji n.k