Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #61
Engineer: Tumia 16mm kwa Beam na column za upande wenye ghorofa, upande usio na ghorofa tumia 12mmNimesoma hiyo post #49 bado sijaona ufafanuzi wa kwanini au za nini nondo size 16mm ? Hizo nene sana. Hiyo bei mtafikia muafaka tu.
Ni lazima apunguze.
Note: Mimi siyo engineer.
Hii ndio shida ya watu wajinga. Umeombwa ushauri wa hiki wewe unatoa ushauri ambao hujaombwawenye nazo uwa hawaulizi maswali kama haya.
achana na gorofa
hayaaHii ndio shida ya watu wajinga. Umeombwa ushauri wa hiki wewe unatoa ushauri ambao hujaombwa
Fabya kama engineer alivyosema, fundi anatoa mapendekezo bila facts, unatumiaje 16mm sehemu haina mzigo mkubwa juu. Slab tumia 12mm.Engineer: Tumia 16mm kwa Beam na column za upande wenye ghorofa, upande usio na ghorofa tumia 12mm
Fundi: Tumia 16mm koote
Ushauri wako
Yaani huyu fundi sijui kanionaje tu13M ni kubwa sana kwa labour charge pekee.
Hiyo kazi siku 10 inaisha .
Hapo mpe 4 -5 mill ufund.
Isizidi hapo
Tulia wewe..mshangazi na tofali wapi na wapi weweUnataka mwenzio apate majanga km yaliyotukuta kkoo 😥
Kakuona boyaYaani huyu fundi sijui kanionaje tu
Sina utaalamu ila hii unapigwaGharama ya ufundi mkuu
Shukrani Mkuu kujazia nyamaNanukuu:
Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m.
Mwisho wa kunukuu.
Naenda na ushauri wa mhandisi.Engineer: Tumia 16mm kwa Beam na column za upande wenye ghorofa, upande usio na ghorofa tumia 12mm
Fundi: Tumia 16mm koote
Ushauri wako
Hii naona ina sound sana. Ni kama 30% ya gharama ya vifaa. Hiyo 13m ni around 65% 😀 😀 😀Ukiweza jaribu kumshusha hadi 7.5M
Niliwahi kufundishwa kidogo namna ya kubargain kwenye Contract Management enzi za Shule ShuleHii naona ina sound sana. Ni kama 30% ya gharama ya vifaa. Hiyo 13m ni around 65% 😀 😀 😀
Kwenye slab huwa tunamia 10mm, ikizidi saaana 12mm tena hii labda iwe special slab!Fabya kama engineer alivyosema, fundi anatoa mapendekezo bila facts, unatumiaje 16mm sehemu haina mzigo mkubwa juu. Slab tumia 12mm.
Kingine, 13m kama labour charge ni kubwa, na hiyo ni msingi tu. Ungekuwa na foreman umlipe aje kwenye sehemu muhimu, uwe na fundi mzuri hutatumia gharama kubwa hivyo.
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW unajenga ghorofa uchungulie majirani.....teh teh teh. Ila hongera zako.Huu mjengo ni 1.5 storey. Upande ghorofa lenye eneo la takribani 80m2. Upande mwingine ni nyumba ya chini eneo la 68m2.
Upande wa ghorofa nguzo 14 na upande wa chini nguzo 4.
Mzamo wa footing ni 1.8m, msingi ni 1m.
Plot ni plain haina mabonde, ila udongo ni mfinyazi mweusi.
Huyu ni fundi wa kawaida sio injinia. Ni hawa wanaotumiwa na engineers kufanya kazi, sijui ndio foreman! Anasema mjengo huo msingi na nguzo zake gharama ya ufundi ni 13m. Kwamba hiyo kazi ni kubwa itahitaji mwezi 1.5 mpaka 2. Hiyo ni nje ya msosi na vifaa vingine kama kukodi mashine ya zege.
Nini tena niweke isaidie kupata picha?
Huyu fundi mbona kama anataka kuleta za kiinjinia kuogopesha. Nimemwambia asubuhi kwanza nimalizie vibali.
Ushauri wako nimeupa umuhimu sana. Nitaufanya kaziKwenye slab huwa tunamia 10mm, ikizidi saaana 12mm tena hii labda iwe special slab!
Huyu hataki tumia wahandisi maana anabana cost. Ningekua yeye ningemtua mhandisi aliye fanya structural design awe anakuja kukagua kila hatua ya muhimu mfano wakati wa kumwaga zege la msingi. Hapo unamlipa ela ndogo kabisa, tena sisi mainjinia tunavyopenda kuona design zetu zikitekelezwa kukataa hataweza.
NB: namaanisha injinia na sio hawa makanjanja wa diploma humu mtaani wanaojiita injinia kisa wanajua kutumia autocad.
Mkuu hiyo slab ina sqm ngapi?OKW BOBAN SUNZU kama hutojali nichekView attachment 3291204
View attachment 3291205
kwa WhatsApp +255652494919 tufanyekazi. Nimetoka kumaliza kazi kama hiyo tabata chang'ombe japo ni ndogo kiasi ukilinganisha na yako
100m² mkuuMkuu hiyo slab ina sqm ngapi?