Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

Hivi kuna mwanaume asiye kunywa pombe?
Swali Gani sasa hlo . Yani we kitu unachofanya au kinachofanywa na wengi utegemee na wenzako wakifanye🤔? Wapo wasiokunywa pombe ata ya kienyeji . Kuna mzee nakaa nae kitaa hajawahi kusex na sio padri😂 sembuse kunywa pombe , Kuna watu wa Imani kali kama wasabato na waislam baadhi hawanywi
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Keep on praying and believing in yourself, MUNGU sometimes ana mambo magumu sana hayaelezeki, maybe anataka hustle zako zije kuwa somebody's motivational path.
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Hata ufirisike mara ngapi usirudi nyumbani pambana na usihesabu makosa yako
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Pole sana mkuu,unatumia sana farujohn Nini?!
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Pole sana mkuu
 
Atakaekucheka hajajua maisha ni nini. Sometimes unapitia maisha ambayo ulidhani huwezi kuyapitia na mara nyingine unapitia situations au kufanya makosa ambayo kuna kipindi uliwahukumu watu waliokuwa wakiyafanya kwa kudhani haitokuja kukufika kamwee.

Mkuu naelewa hali unayopitia na kwa umri wako nadhani pressure inakuwa kubwa zaidi ila amini tu kinachotudidimiza au kutuinua huwa ni maamuzi yetu wenyewe. So haijalishi umechoka au unapitia magumu kiasi gani, ila usiache akili ife kabla haujafa, always angalia next move unayoweza fanya ili ikutoe hapo ulipo kwa sababu hicho ndo kinamatter. Pole sana bro na Mungu akufanyie wepesi
 
Je una malengo yoyote? Kama huna Anza sasa kua na malengo!! Kisha yapambanie ukiwa serious utapata tunamba
 
Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.

Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.

Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.

Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani na ujasiri wa kupambana zaidi,

usinung'unike, usife moyo, na kamwe usikate tamaa hata kidogo.
Ni kujipanga tu my friend..

Mungu ana kusudi na aina ya maisha yako kwako mwenyewe na kwa waja wake wanaokuzunguka kujifunza...

chukua hiyo kama fursa ya kujipanga na kuyaendea taratibu na kwa umakini mkubwa aina ya maisha ya furaha unayotamani kua nayo...
muda bado unao, ukijizatiti vyema in 3-5 years utakua mtu mwingine kabisa katika mafanikio....

daima usiache kumshirikisha Mungu katika kila hatua unayopiga, ili kusudi akufanyie wepesi na kukuonyesha njia sahihi unapokutana na ugumu fulani au wepesi katika maisha...

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu pekee utafanikiwa,

Mungu akubariki sana, always be positive 🐒
 
Back
Top Bottom