Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali Gani sasa hlo . Yani we kitu unachofanya au kinachofanywa na wengi utegemee na wenzako wakifanye🤔? Wapo wasiokunywa pombe ata ya kienyeji . Kuna mzee nakaa nae kitaa hajawahi kusex na sio padri😂 sembuse kunywa pombe , Kuna watu wa Imani kali kama wasabato na waislam baadhi hawanywiHivi kuna mwanaume asiye kunywa pombe?
Eti unasemaje?Kuna mzee nakaa nae kitaa hajawahi kusex
Kumbe tupo wengi.
AsanteMshirikishe Mungu huku ukipambana kaka!
Keep on praying and believing in yourself, MUNGU sometimes ana mambo magumu sana hayaelezeki, maybe anataka hustle zako zije kuwa somebody's motivational path.Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Hata ufirisike mara ngapi usirudi nyumbani pambana na usihesabu makosa yakoSina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
NdioUnakunywa pombe...?
Pole sana mkuu,unatumia sana farujohn Nini?!Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Ipo hekima,auze nyanya gengeni na afanye kazi yoyote halali hata ya kumwaga zege.Hapa utapokea pole tu. Sidhani kama kuna hekima yoyote ile ya kukupatia.
Pole sana mkuuSina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani na ujasiri wa kupambana zaidi,Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu.
Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea.
Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne.
Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu
Mali nikimiliki hazidumu.
Nimefilisika hadi nimerudi kwa wazee naombeni hekima.zenu ndugu zangu
Wewe unashanga hiyo? Kuna mmoja ana 75 kitaa hajawahikunyaEti unasemaje?