Msioajiriwa kwa wahitimu wa Chuo Kikuu mna nini cha kuisifu awamu ya 5?

Kama kweli unadhani hakuna ulazima wa ajira kwa Vijana basi na wewe acha kulamba miguu ya Polepole hapo Lumumba kwa malipo ya buku 7 kwa siku, then njoo mtaani tupambane.
Sasa kama kuna kuna opportunity kwa pole pole si uende
 
Niliandika Uzi juu ya possible solution ya hili Mods sijui wameufuta.. Kuna haja Kuanzisha Kampeni za Vijana kwa Vijana.. Hii ingesaidia Sana kuspread awareness
Usiandike post itakayochongansha JF na Mamlaka.
Wewe nenda Twitter kaandike unachokitaka
 
Serikali huajiri kulingana na uhitaji, ulitegemea hayo Malaki ya wahitimu wote wangeajiriwa serikalini?

Tuacheni tupotoshana upumbavu, nitaona la maana kwa mtu atakayehoji kwanini watumishi wa umma hajaongezewa mishahara au kupandishwa madaraja! Yes the government is answerable for this!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii tafsiri yake ni kuwa serikali imeshindwa kuendana na kasi ya vijana au kasi ya maendeleo. Nitakupa mifano mitatu tu:
  • Kwa muujibu wa wizara ya ardhi ukitaka kujenga ndani ya halmashauri lazima upate kibali. Kupata kibali ardhi ni lazima kiwanja chako kipimwe. Ardhi imekiri haina uwezo wa kuwapimia wote walioomba kupimiwa, kwa sababu hwana wataalamu wa kutosha na vitendea kazi. Wakati huo huo wataalam wako mtaani hawajaajiriwa - Unganisha dot… Hii inamaanisha ujenzi hususan wa watu binafsi hautafanyika - ajira zimepotea. Makazi ya watu kuishi yamepungua/kipato kwa mpangishaji hakuna… unganisha dot. Endelea kuunganisha dot mpaka utaelewa kosa la chama tawala.
  • Unazalisha wahandisi wakati unaita cherahani 2 ni kiwanda (Kaijage). Kimsingi hakuna viwanda bali ni siasa tu. Hakuna ajira.
  • Kilimo: Hakuna sera yeyote ya kukuza kilimo, eneo ambalo huajiri watanzania wengi sana. Chuo kikuu cha kilimo Morogoro kinafyatua tu - Lakini ajira hakuna
  • Naweza kuhesabu mpaka asubuhi. nk.
Kama serikali lazima ujipange katika suala la maendeleo. Maendeleo ni chain, ukizorota sehemu moja ujue umedhoofisha ufanisi wa chain yote.
Ni kazi ya wanasiasa kubuni mbinu za kuondokana na matatizo ya wananchi. Hii ndio siasa.
 
Ni chuo kikuuu gani ukimaliza wanakuambia utaajiriwa??
Hata huko ulaya , Marekani na Australia hawawezi kuwaajiri wahitimu wote.
Nhi nyingi ulaya wanawalipa allowance vijana wenye miaka 18 wasiokuwa na ajira rasmi. Tanzania ni ngumu sana kwanza tuna population ambayo ni un controllable ikifika 2030 Dar itakuwa imeshaungana na Tanga. Wahamiaji haramu kibao nchini toka Kenya, malawi, Ethiopia, Somalia, Rwanda, Burundi hawa peke yake ni nusu ya population nao wanadai huduma za matibabu, karo za shule , mikopo n.k. Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja pale Moshi tuliwahi kukamata wanafunzi wanane ambao sio raia wa Tz lakini walikuwa wana mikopo ya TCU nenda huko polisi, jeshini , Televisions, vyuoni, mahospitali waajiriwa nusu sio raia wa Tz lakini wana vitambulisho vya Tz, kadi za kupiga kura, vitambulisho vya uraia, passport, kadi za vyama vya siasa n.k. Bila ya kukontroli mipaka kazi bure. Labda tujaribu kujenga vinu vya nyuklia lakini lazima tuwe na wanasayansi wengi sababu kinu kimoja kikubwa kinaajiri mpaka watu elfu thelathini sasa tukiwa na vinu kumi si haba
 
Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.

Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.

Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?

Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.

Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Hivi bado mnawadanganya Watoto wenu kuwa ukisoma wewe ni kuajiriwa tu na sio kujitegemea??
 
Shida ya vijana wengi hawajitambui na elimu ya uraia hawaijui katika uhalisia wake .
 
Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.

Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.

Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?

Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.

Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Tatizo la ajira limeanza miaka 1994 wakati computer zinaingia na watu wakaanza kupunguzwa makazini.

Then, Rais Mkapa miaka ya 97/98 akawekajaribu ku-stabilize mambo walau ajira zikarejea kiasi kwenye public na private sector.
JK alipoingia, ukuaji wa private sector haukua mzuri. EL kwenye kampeni zake akaja na slogan kwa ajira kama bomu na tishio kwa Tanzania. Ni wakati wa JK ajira za immigration na TRA watu ilibidi kuingia national stadium walau kupata kazi za kuvaa tai. Matapeli kibao waliibuka pia kutoa michongo ya ajira sehemu mbalimbali wakati wa tenure ya JK.

JPM bila shaka hali imezidi kukua kwa maana ya kasi ya kuzalisha ajira hasa viwandani kwenye sekta binafsi haiendani na kasi ya wanaotoka vyuo vikuu, vyuo vya kati na elimu za sekondari.

Uzalishaji wa ajira unahitaji creative and innovative brain. "Praise team" haitamsaidia JPM. Wala hawatatusaidia Watanzania.

Tutatoka hapa kwa kumtafuta JPM ili kukaa nae kwa lengo la kutengeneza ajira kupitia sekta za viwanda kwa kuchakata korosho, kahawa, pamba, chai, alizeti, ufuta, nyama, mazao ya ngozi, asali na kuuza qualitative and quantitative consumable valued produces.
Production industry iki-peak itazaa service industry kama legal, banking, insurance, advertisement, logistics, real estate. Watu kuwa na shule and vyuo binafsi, watu kuwa na private hospitals; haya yote yatafanya vyema kama production imekaa vizuri.
Hata serikalini ajira za Quality TBS, pension officers, revenue collectors nako zitazaliwa.

Mara kadhaa huwa naandika humu, the govt should search/scout for brains with short term, mid term and long term business models. Costech pekee haitoshi. Iko Dar, na lazima kuwa na mawazo shindani na yanayotofautiana kwenye ku-solve na kuja na solutions.
Si kila msomi ana creative and innovative brains. Ila baada ya creators and innovators kuja na solution, early adopotors watasaidia kusukuma gurudumu.

Sina wivu na mtu, ila niwe mkweli Wizara ya viwanda, wizara ya kazi zina watu ambao hawamsadii JPM na hawana msaada kwa Watanzania. Hizi sio wizara za kusifia utendaji wa kazi tu; zinatakiwa kuwa za kimkakati kwenye kufanya mambo yatokee kwa haraka ili SGR, Ndege ziwe na maana ya kutoa huduma kwenye exports ya bidhaa za mazao ya kilimo.

Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa? - JamiiForums

Kuna moja ya business model hapo juu.

Kulaumu hakutasaidia. Ila thamani ya nyama ya nguruwe sio kwenye hali ya matope nguruwe anavyoonekana. Thamani ya dhahabu iko chini ya udongo. I wish tuwe na watu Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Uwekezaji wenye IQ ya kujua uthamani wa dhahabu iko wapi japo kuna udongo; thamani ya nyama ya nguruwe licha ya nguruwe kugagala kwenye matope.
Juzi Rage ameitwa kuhojiwa kuzuia rushwa. Mara utasikia Gen. Mbungo wa PCCB anahoji fedha zimetumika vibaya; that is very good job to defend; ila iko haja ya kuwa na chombo pia kwenye uchumi kinacho- offend to make things happen.
CAG anakagua ubadhirifu; I wish tuwe na auditor anaekagua ni fursa ngapi zinakwamishwa kwa urasimu wa watu ambao mwisho wa mwezi, account inasoma.
 
Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.

Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.

Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?

Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.

Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Tuwe wavumilivu wako bize kuuwa upinzani kwanza Kama kipaumbele then ndo waje wakumbuke kuhusu ajira
 
Tatizo la ajira limeanza miaka 1994 wakati computer zinaingia na watu wakaanza kupunguzwa makazini.

Then, Rais Mkapa miaka ya 97/98 akawekajaribu ku-stabilize mambo walau ajira zikarejea kiasi kwenye public na private sector.
JK alipoingia, ukuaji wa private sector haukua mzuri. EL kwenye kampeni zake akaja na slogan kwa ajira kama bomu na tishio kwa Tanzania. Ni wakati wa JK ajira za immigration na TRA watu ilibidi kuingia national stadium walau kupata kazi za kuvaa tai. Matapeli kibao waliibuka pia kutoa michongo ya ajira sehemu mbalimbali wakati wa tenure ya JK.

JPM bila shaka hali imezidi kukua kwa maana ya kasi ya kuzalisha ajira hasa viwandani kwenye sekta binafsi haiendani na kasi ya wanaotoka vyuo vikuu, vyuo vya kati na elimu za sekondari.

Uzalishaji wa ajira unahitaji creative and innovative brain. Praise team haitamsaidia JPM. Wala hawatatusaidia Watanzania.

Tutatoka hapa kwa kumtafuta JPM ili kukaa nae kwa lengo la kutengeneza ajira kupitia sekta za viwanda kwa kuchakata korosho, kahawa, pamba, chai, alizeti, ufuta, nyama, mazao ya ngozi, asali na kuuza qualitative and quantitative consumable valued produces.
Production industry iki-peak itazaa service industry kama legal, banking, insurance, advertisement, logistics, real estate.
Hata serikalini ajira za Quality TBS, pension officers, revenue collectors nako zitazaliwa.

Mara kadhaa huwa naandika humu, the govt should search/scout for brains with short term, mid term and long term business models. Costech pekee haitoshi. Iko Dar, na lazima kuwa na mawazo shindani na yanayotofautiana kwenye ku-solve na kuja na solutions.
Si kila msomi ana creative and innovative brains. Ila baada ya creators and innovators kuja na solution, early adopotors watasaidia kusukuma gurudumu.

Sina wivu na mtu, ila niwe mkweli Wizara ya viwanda, wizara ya kazi zina watu ambao hawamsadii JPM na hawana msaada kwa Watanzania. Hizi sio wizara za kusifia utendaji wa kazi tu; zinatakiwa kuwa za kimkakati kwenye kufanya mambo yatokee kwa haraka ili SGR, Ndege ziwe na maana ya kutoa huduma kwenye exports ya bidhaa za mazao ya kilimo.

Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa? - JamiiForums

Kuna moja ya business model hapo juu.

Kulaumu hakutasaidia. Ila thamani ya nyama ya nguruwe sio kwenye hali ya matope nguruwe anavyoonekana. Thamani ya dhahabu iko chini ya udongo. I wish tuwe na watu Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Uwekezaji wenye IQ ya kujua uthamani wa dhahabu iko wapi japo kuna udongo; thamani ya nyama ya nguruwe licha ya nguruwe kugagala kwenye matope.
Kupambana na upinzani kwanza ndio kipaumbele na sio kupambana na umasikini labda Hadi upinzani ukiimalizwa kwanza
 
nilishawahi kuleta suggestion; kila mtu apate; vijana waliomaliza tu chuo,24-28 wapate ajira 16 hours per week,28-45 wapate 32 hours per week and third cohort ni wazee above 45-75 wapate 16 hours per week ..mkanipinga,sijui ile topic ilikua na title gani,ningewaletea tena tuidiscuss….kwa ujumla hili swala linahitaji multiple approach,njia mojawapi ni kuongeza masomo yanayowezesha kujiajiri huku secondary kwa mfano Accounting ama IT mtu anaweza kusoma olevel ama advanced akitoka hapo akifanya diploma ya Accounting miaka miwili tayari ana confidence na taaluma yake na anaweza kujiajiri… sasa watu hawana foundation mnawaambia wajiajiri..how??? mtu anaenda kusoma Accounting na limited knowledge ya basic Excel software...hivi in your mind miaka mitatu inatosha kumpa confidence ajiajiri?? na sijui tatizo liko wapi since humu JF ukipekua maudhui mengine ya topics yanajirudia miaka na miaka...ni kwamba wahusika wanatuignore sababu wenyewe wana ajira nzuri tu..
 
Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.

Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.

Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?

Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.

Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Chama kipi? Unataka wakanyanyaswe kingono na boss wa CHADEMA? Usiwinde shida za watu kuwafanyisha wasiyoyataka bhana!
 
Back
Top Bottom