Awamu ya tano imewekeza nguvu nyingi sana kwenye kubambikia watu kesi na kutumia nguvu nyingi ili isifiwe.Hii tafsiri yake ni kuwa serikali imeshindwa kuendana na kasi ya vijana au kasi ya maendeleo. Nitakupa mifano mitatu tu:
Kama serikali lazima ujipange katika suala la maendeleo. Maendeleo ni chain, ukizorota sehemu moja ujue umedhoofisha ufanisi wa chain yote.
- Kwa muujibu wa wizara ya ardhi ukitaka kujenga ndani ya halmashauri lazima upate kibali. Kupata kibali ardhi ni lazima kiwanja chako kipimwe. Ardhi imekiri haina uwezo wa kuwapimia wote walioomba kupimiwa, kwa sababu hwana wataalamu wa kutosha na vitendea kazi. Wakati huo huo wataalam wako mtaani hawajaajiriwa - Unganisha dot… Hii inamaanisha ujenzi hususan wa watu binafsi hautafanyika - ajira zimepotea. Makazi ya watu kuishi yamepungua/kipato kwa mpangishaji hakuna… unganisha dot. Endelea kuunganisha dot mpaka utaelewa kosa la chama tawala.
- Unazalisha wahandisi wakati unaita cherahani 2 ni kiwanda (Kaijage). Kimsingi hakuna viwanda bali ni siasa tu. Hakuna ajira.
- Kilimo: Hakuna sera yeyote ya kukuza kilimo, eneo ambalo huajiri watanzania wengi sana. Chuo kikuu cha kilimo Morogoro kinafyatua tu - Lakini ajira hakuna
- Naweza kuhesabu mpaka asubuhi. nk.
Ni kazi ya wanasiasa kubuni mbinu za kuondokana na matatizo ya wananchi. Hii ndio siasa.
Kwa nini JK alikuwa ana ajiri zaidi ya watu elfu 20 kila mwaka?Jamani tatizo la ajira kwa wana vyuo duniani ni "shida ya Dunia" sio hapa tu Tz. Labda waalimu wajaribu kutunga mitiani migumu ili wanafunzi wasipass.
Hapo sasa sikuwa nae mezani labda ungemuuliza atusaidie majibu.Kwa nini JK alikuwa ana ajiri zaidi ya watu elfu 20 kila mwaka?
Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.
Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.
Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?
Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.
Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Haya mataga njoon huku au bdo mnalala?
Hakuna hata maendeleo zaidi ya maigizo, JK aliajiri kila mwaka zaidi ya watu elfu 20, kupandisha mishahara, ujenzi wa hosps(B.Mkapa, Mloganzila, MOI), vyuo Nelson Mandela, Udom nk, barabaraq za kutosha(lami), madaraja(Kingamboni na Mkapa), ofisi za kisasa za Mikoa na Wilaya, bei ya mazao juu na mengine mengi lakini hatukuona mbwembwe hata kidogo,
Awamu ya tano imewekeza nguvu nyingi sana kwenye kubambikia watu kesi na kutumia nguvu nyingi ili isifiwe.
Chama kipi? Unataka wakanyanyaswe kingono na boss wa CHADEMA? Usiwinde shida za watu kuwafanyisha wasiyoyataka bhana!
Jamani tatizo la ajira kwa wana vyuo duniani ni "shida ya Dunia" sio hapa tu Tz. Labda waalimu wajaribu kutunga mitiani migumu ili wanafunzi wasipass.
Tumesha waona wajinga nyiny kila mwaka watu wanamaliza chuo mkitaka wote waajiriwe mnawawrka wapi
Tuna DJ na pia tuna saccos, hivyo Maisha yanaendeleaDhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.
Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.
Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?
Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.
Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Hata Iddi Amini alikuwa na watu wengi hivyo usishangaeMbwembwe ndio zinazouwa TAIFA. Na bahati mbaya baadhi ya watanzania sio wengi pengine ni 10% wanazishabikia mbwembwe kwa ajili ya matumbo Yao.
Kama tuko makini na tunataka kutoka huko, ni lazima tuwaokoe hawa mafahari wa mbwembwe. Umejenga kisima cha maji, unakwenda kufungua na umati wa viongozi - Mkurugenzi, mbunge, waziri na mkuu. Jamani hii nchi ina watu milioni zaidi ya 50.
Hivi ni mabadiliko gani ambayo ungependa yafanyike CCM lakini hayafanyiki na sasa yanafanyika CHADEMA, CUF, NCCR, n.k.? NI yapi? Kuna kiongozi gani upinzani unayemtumaini kufanya mabadiliko? Hawa akina Mbowe, Zitto, Mbatia, Mrema, Lipumba, nk. Unawaona ni watu wa kutawala nchina ikaonesha mabadiliko. Hawa wanaokimbilia kushitaki nje ya nchi utadhani tunatafuta uhuru leo hii?Vyama vipo vingi si CHADEMA tu. Ukiona CHADEMA kwako haifai, achana nacho nenda NCCR, kama nao una walakini nao kuna CUF, ukiona LiPumba myeyusho kuna ACT ni maono yako tu. Mwisho wa siku ni nyie vijana ndio mtaobadili mtazamo wa hao viongozi.
Ni rahisi kubadili mtazamo wa viongozi wa chama chochote cha upinzani kuliko chama Tawala. Huko wako hivyo hivyo, hawabadiliki kamwe.
Hivi ni mabadiliko gani ambayo ungependa yafanyike CCM lakini hayafanyiki na sasa yanafanyika CHADEMA, CUF, NCCR, n.k.? NI yapi? Kuna kiongozi gani upinzani unayemtumaini kufanya mabadiliko? Hawa akina Mbowe, Zitto, Mbatia, Mrema, Lipumba, nk. Unawaona ni watu wa kutawala nchina ikaonesha mabadiliko. Hawa wanaokimbilia kushitaki nje ya nchi utadhani tunatafuta uhuru leo hii?