Kwani kila hoja lazima ujibu muzee?? Ina maana wewe unajua kla kitu humu JF?
Mataga una upeo mdogo.Lakini tren itarahisisha maisha ya mkulima na mfanyabiashara pia
Sasa kama kuna kuna opportunity kwa pole pole si uendeKama kweli unadhani hakuna ulazima wa ajira kwa Vijana basi na wewe acha kulamba miguu ya Polepole hapo Lumumba kwa malipo ya buku 7 kwa siku, then njoo mtaani tupambane.
Usiandike post itakayochongansha JF na Mamlaka.Niliandika Uzi juu ya possible solution ya hili Mods sijui wameufuta.. Kuna haja Kuanzisha Kampeni za Vijana kwa Vijana.. Hii ingesaidia Sana kuspread awareness
Usiandike post itakayochongansha JF na Mamlaka.
Wewe nenda Twitter kaandike unachokitaka
Serikali huajiri kulingana na uhitaji, ulitegemea hayo Malaki ya wahitimu wote wangeajiriwa serikalini?
Tuacheni tupotoshana upumbavu, nitaona la maana kwa mtu atakayehoji kwanini watumishi wa umma hajaongezewa mishahara au kupandishwa madaraja! Yes the government is answerable for this!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko ulaya , Marekani na Australia hawawezi kuwaajiri wahitimu wote.Ni chuo kikuuu gani ukimaliza wanakuambia utaajiriwa??
Hivi bado mnawadanganya Watoto wenu kuwa ukisoma wewe ni kuajiriwa tu na sio kujitegemea??Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.
Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.
Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?
Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.
Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Soma kwa bidii ukiwa na wazo la "kujiajiri "kuajiriwa iwe bahati .Nani alikwambia ukimaliza chuo lazima upate ajira
Tatizo la ajira limeanza miaka 1994 wakati computer zinaingia na watu wakaanza kupunguzwa makazini.Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.
Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.
Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?
Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.
Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Tuwe wavumilivu wako bize kuuwa upinzani kwanza Kama kipaumbele then ndo waje wakumbuke kuhusu ajiraDhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.
Kwa maneno ya Rais mwenyewe (mkutano na chama cha madaktari) alikiri kuwa madaktari 2700 wapo mtaani bila ajira. Akaahidi kuajiri 1000 ahadi ambayo kaitimiza hivi punde. Hii inamaanisha kwamba madaktari 1700 bado wapo mtaani wanasota. Kumbuka hii ni fani adimu kuliko zote TZ kwa wakati huu.
Fani nyingine hazijakumbukwa kabisa, hii inamaana kuwa zaidi ya wahitimu 40,000 katika fani mbalimbali wapo mtaani wamekata tamaa ya kupata ajira. Maendeleo yazungumzwayo kama Ununuzi wa ndege, ujenzi wa barabara, SGR, St Gauge bado si jibu kwenu. Kimsingi kila mmoja hulia na shida zake, ni wakati wa kujiuliza hivi maendeleo yote akina POLEPOLE wanayoyapigia debe yamekusaidia nini wewe binafsi?
Ushauri wangu kwenu msioajiliwa. Huu ni wakati muafaka wa kuja na siasa mbadala zitazowaokoa kutoka mtaani na kukuza vipaji vyenu katika fani zenu. Kama chama tawala hakijawasaidia, si wakati tena wa kuimba mwimbo huo huo usiokupatia mafanikio yeyote.
Jibu la matatizo yenu lipo katika maamuzi magumu ya kisiasa. Anzisheni harakati maalum katika chama chochote cha upinzani utachoona kitawasikiliza na muendeshe hoja za msingi zitazowakomboa. Mkibweteka hamtaweza kutatua matatizo yenu, mkibaki kulia tu na kuitwa wazururaji. COME ON VIJANA WAKATI NDIO HUU.
Kupambana na upinzani kwanza ndio kipaumbele na sio kupambana na umasikini labda Hadi upinzani ukiimalizwa kwanzaTatizo la ajira limeanza miaka 1994 wakati computer zinaingia na watu wakaanza kupunguzwa makazini.
Then, Rais Mkapa miaka ya 97/98 akawekajaribu ku-stabilize mambo walau ajira zikarejea kiasi kwenye public na private sector.
JK alipoingia, ukuaji wa private sector haukua mzuri. EL kwenye kampeni zake akaja na slogan kwa ajira kama bomu na tishio kwa Tanzania. Ni wakati wa JK ajira za immigration na TRA watu ilibidi kuingia national stadium walau kupata kazi za kuvaa tai. Matapeli kibao waliibuka pia kutoa michongo ya ajira sehemu mbalimbali wakati wa tenure ya JK.
JPM bila shaka hali imezidi kukua kwa maana ya kasi ya kuzalisha ajira hasa viwandani kwenye sekta binafsi haiendani na kasi ya wanaotoka vyuo vikuu, vyuo vya kati na elimu za sekondari.
Uzalishaji wa ajira unahitaji creative and innovative brain. Praise team haitamsaidia JPM. Wala hawatatusaidia Watanzania.
Tutatoka hapa kwa kumtafuta JPM ili kukaa nae kwa lengo la kutengeneza ajira kupitia sekta za viwanda kwa kuchakata korosho, kahawa, pamba, chai, alizeti, ufuta, nyama, mazao ya ngozi, asali na kuuza qualitative and quantitative consumable valued produces.
Production industry iki-peak itazaa service industry kama legal, banking, insurance, advertisement, logistics, real estate.
Hata serikalini ajira za Quality TBS, pension officers, revenue collectors nako zitazaliwa.
Mara kadhaa huwa naandika humu, the govt should search/scout for brains with short term, mid term and long term business models. Costech pekee haitoshi. Iko Dar, na lazima kuwa na mawazo shindani na yanayotofautiana kwenye ku-solve na kuja na solutions.
Si kila msomi ana creative and innovative brains. Ila baada ya creators and innovators kuja na solution, early adopotors watasaidia kusukuma gurudumu.
Sina wivu na mtu, ila niwe mkweli Wizara ya viwanda, wizara ya kazi zina watu ambao hawamsadii JPM na hawana msaada kwa Watanzania. Hizi sio wizara za kusifia utendaji wa kazi tu; zinatakiwa kuwa za kimkakati kwenye kufanya mambo yatokee kwa haraka ili SGR, Ndege ziwe na maana ya kutoa huduma kwenye exports ya bidhaa za mazao ya kilimo.
Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa? - JamiiForums
Kuna moja ya business model hapo juu.
Kulaumu hakutasaidia. Ila thamani ya nyama ya nguruwe sio kwenye hali ya matope nguruwe anavyoonekana. Thamani ya dhahabu iko chini ya udongo. I wish tuwe na watu Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Uwekezaji wenye IQ ya kujua uthamani wa dhahabu iko wapi japo kuna udongo; thamani ya nyama ya nguruwe licha ya nguruwe kugagala kwenye matope.
Chama kipi? Unataka wakanyanyaswe kingono na boss wa CHADEMA? Usiwinde shida za watu kuwafanyisha wasiyoyataka bhana!Dhana kuwa awamu ya 5 imeleta maendeleo pengine maneno haya ni magumu kuyaelewa kwa kijana aliye na shahada ( degree) ya chuo kikuu na yupo mtaani hajapata ajira kwa miaka kati ya 4 mpaka sasa.