Nilikuwa namaanisha El nino na majanga yaliyo tokea Nepal ni vitu viwili tofauti kabisa ingawa yote yatakuwa ni majanga so watu wasiwe na wasiwasi.Hapa ulikuwa unamaanisha nini?
Mkuu wewe ndiyo unaleta hisia.Tatizo unajiita "fact only" halafu badala ya kuangalia fact unaangalia personalities.
Kutoka lilipo bwawa kuja na mto sehemu kubwa ni mabondeni, watu walijua kuishi na mafuriko vizuri tu, ila bwawa limeongeza maafa mafuriko yamefika mpaka Muhoro.
Baada ya bwawa kujengwa maafa ya mafuriko yameongezeka, wakati moja ya point kubwa ya kujenga bwawa, licha ya kufua umeme, ilikuwa ni ku control maji yasilete mafuriko.
Jielimishe kwanza kabla ya kurukia habari kwa hisia tu.
Mkuu umeongea point kubwa sana .Watu wamejenga hadi kwenye njia za maji, mvua ikinyesha kubwa na ikaleta athari tunataka Serikali itulipe na kutupatia msaada pia.
Kwanza kabisa hakuna facts zangu, kuna facts tu.Mkuu wewe ndiyo unaleta hisia.
Mimi nimekubali facts zako kutokana na tathmini zako ulizo elezea vizuri. Lakini swali langu ni kwamba wewe unaamini uko vizuri kuzidi wengine walio fanya evaluation ya ujenzi wa mabwawa hayo?(sasa baada ujibu swali unaanza kusema mambo ya hisia Mkuu).
OK. Wewe Unatutoa hofu kama nani mkuu?Hellow wana JF.
Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
View attachment 3663780
Naunga mkono hoja. Likisha tokea, Huwa wanailalamikia Serikali kana kwamba ni Serikali ndo imeileta hiyo El nino licha ya kwamba Serikali imeshatoa Taarifa ya Tahadhari na ni nini kifanyike kabla mambo hayajaharibika.Hawa hawajawahi kusikia kitu chochote mpaka wafe kwanza na waanze kuililia serikali kwamba hawana pa kulala mvua imekunywa nyumba zao zote
You must be a genius,watu walidanganywa sana kuhusu hayo mafuriko ya bwawa.Una uhakika hii mibwawa iliyojengwa kibabe bila kuangakia environmental assesment studies haiwezi kutapika maji mpaka kukatokea mafuriko?
Unaelewa hilo bwawa la Julius Nyerere lishaleta mafuriko Rufiji huko watu wamepata mafuriko mpaka Muhoro?
Swali langu litakuwa lilelile kwako.Kwanza kabisa hakuna facts zangu, kuna facts tu.
Pili, ukishaanza habari ya ku personalize hoja, habari za "wewe unaamini..." wakati hapa tuna deal na facts, sio imani, ndipo hapo unapoleta hisia.
Kwa sababu umeshindwa kujikita katika facts, unaangalia nani anayezitoa hizo facts.
Ad hominem logical fallacy.
Tatu, ungetaka facts ungejua bwawa lilijengwa kwa show ya kibabe na hizo environmental evaluations hazikufanywa kama unavyofikiri.
Nimejifunza kitu hapo.You must be a genius,watu walidanganywa sana kuhusu hayo mafuriko ya bwawa.
Mmmmm!! Lakini Wote hao si waBongo? Wewe ni mgeni kwa waBongo???Swali langu litakuwa lilelile kwako.
Mkuu ujue kabla ya ujenzi wa bwawa la umeme kuna wizara/idara lazima upite kwanza ndiyo upate kibali cha ujenzi huo.
Kwa hapa kwetu idara hizo nipamoja na hizi 👇.
● Energy and Power Authorities(Ministry of Energy. sets national policy, grants overall project authorization, and oversees power sector development. National Power Utility (TANESCO).
● Water and Environment Departments(Ministry of Water/Water Basin Boards, National Environmental Management Agency NEMA/NEMC).
● Land and Infrastructure Agencies(Ministry of Lands/Local Government, Civil and Geotechnical Engineering Regulators).
So hizo wizara/idara wewe unaamini hazijafanya evaluations yakinifu mpaka ujenzi ule ukafanyika?
Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.Mkuu umeongea point kubwa sana .
Watu kila siku wanazidi kujenga na kununua viwanja mabondeni alafu mvua zikinyesha nyingi vilio vinaanza.
Sasa ni raia mwema gani anayesema tena kama ni kufa na ufe mkuu?Kama Raia mwema mkuu.
Lakini kama ukitaka kufa huko vichochoroni au mabondeni basi kufa na ufe mkuu.
"Mkataa pema pabaya panamwita". Muonye kwa mara ya mwisho au tayari ameshayakanyaga?Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.
Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
Ikipiga mvua kwelikweli maafa yatakuwa mengi sana ujenzi wa hovyohovyo umezidi Tanzania.Naunga mkono hoja. Likisha tokea, Huwa wanailalamikia Serikali kana kwamba ni Serikali ndo imeileta hiyo El nino licha ya kwamba Serikali imeshatoa Taarifa ya Tahadhari na ni nini kifanyike kabla mambo hayajaharibika.
Kama umemshauri kakataa muache mkuu isije ikaonekana unapinga maendeleo.Kuna mdogo wangu alikuwa anahitaji kiwanja, nikamshauri asubiri msimu wa mvua (masika) ndo ananunue, lakini namuona anazidi kukaza fuvu.
Kipindi cha mvua ni mda wa kuona mkondo wa maji unapita wapi na wapi panastahili.
Mkuu unanichekesha sana inaonekana unapenda sana mabishano.Sasa ni raia mwema gani anayesema tena kama ni kufa na ufe mkuu?
Nashukuru umekuwa Raia mwema lakini kichwa cha mada kinaashiria watu wajiachie tu wasihangaike kwa hofu ya kile kinachosemwa kinakuja mbeleni.