Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

Kwa kujua kuwa hakuna mwanaccm yeyote anayefaa kuaminiwa yote tunayapuuza na kuwa tujiandae kwa chochote na lolote liinaloseemwa!
 
Kwa kujua kuwa hakuna mwanaccm yeyote anayefaa kuaminiwa yote tunayapuuza na kuwa tujiandae kwa chochote na lolote liinaloseemwa!
Ndiyo shida yenu vijana kila kitu mnakichukulia kisiasa zaidi.

Though nakupongeza kwa kujiandaa nikweli lolote linaweza kutokea mkuu.
 
Tatizo umekariri kwa imani tu. Wakati unatakiwa kuhakiki mambo kwa facts.

Weka hapa environmental assesment ya mradi huu tuipitie, bila kwenda kwa imani ya "kuna watu wamepitia wizarani".

Mimi nimekaa na January Makamba alivyokuwa Waziri wa Mazingira, anasema alipata matatizo sana ya kupitisha environmental assesments kwa wataalamu, kwa kufuata utaratibu, za miradi mingi, lakini, alilazimishwa kupitisha tu kwa amri kutoka juu.

Huyo ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana amelalamikia hili jambo.

Hiyo confidence yako na hao wataalamu na wizara sijui unaitoa wapi.
 
Mkuu unanichekesha sana inaonekana unapenda sana mabishano.

Wapi nimesema watu wajiachie ?
Kweli ninapenda mabishano na jamvi lichangamke. Unasema watu wasiogope ya Nepal hayawezi kutokea Tz. manake watu wafanyeje?
 
Tupunguze kudharaulia mkuu.

Kama ni hivyo mbona anaye judge pia ni mbongo?
Dah! Si ndo hao-hao? Hakujawa na dharau bali uzoefu unaonesha ndivyo wabongo walivyo. Kazi zao za kulipua , kazi substandard, rushwa (10%)mumo humo, hawazingatii time frame, siasa humo humo n.k.n.k.-Usimwamini mBongo hata siku moja. Atakushangaza at the end of the day.
 
Hii ya China na Nepal inafanan sana na kile kilitokea Hanung Manyara mwaka 2023 mwaka huu wakae ki askari inaweza ikapiga kwa ukubwa zaidi
 
Nepal haikuwa mvua ya El-Nino usipotoshe watu wala haikuwa mvua kabisa
Ni milima ya barafu iliyoyeyuka kwa ajili ya joto na kusababisha madhara ni Himalayan glacier
 
Mkuu kumbe na wewe unaandika kwa sababu January alisema sio kwamba wewe ulijionea mwenyewe na kupitia hizo data.
 
Haiwezekani kutokea hapa Tanzania kwa sababu serikali imetenga 700B kupambana na El mino πŸ˜‚

Sasa cjui watajenga nchi paa la kuvuna mvua na kuelekezwa baharini πŸ˜‚
 
Kweli ninapenda mabishano na jamvi lichangamke. Unasema watu wasiogope ya Nepal hayawezi kutokea Tz. manake watu wafanyeje?
πŸ˜€πŸ˜€ mkuu chakufanya nimesha waelekeza fungua uzi alafu soma tena.
 
Hapo kwenye siasa ndiyo panatumaliza sana mkuu.

Kwenye issue ya kitaifa watu wanaleta siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…