Kataa ndoa, linda amani na mali zako......
Na binadamu wengi ndio wanaishi maisha yao kwa namna hiiKuna theory sikumbuki inaitwa Flight landing or availability heuristic(bias).
Maelezo marefu but kwa kifupi inasema kwa siku ndege makumi elfu zinaruka na kutua salama(hakuna story) but ndege moja tu ikipata ajali dunia nzima itajua,na watu wataanza kuongelea how ndege sio salama..
Pessimism is literally for losers.
Haya.Kila mtu yupo huru kuishi vile apendavyo yeye,kila mtu yupo huru kufanya kile kinachompa amani na furaha,
Ukiona unafanya jambo kisa tu umeambiwa na mtu au umeshawishiwa na mtu,basi tambua kua haupo huru,unaishi kwa maelekezo ya wengine au kwa kushawishiwa na wengine,
Kua huru,fanya kile kinachoipa amani nafsi yako,haya ni maisha yako,life is very short,
It's okay no one understands your journey,at the end of the day,what matters most is that you are doing what makes you happy.