Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Rais ni mmoja tu. JPM
Ni kweli, ila sio kwa kura halali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ni mmoja tu. JPM
Kumbe ni wewe? Ungesema tofauti ningeshangaa[emoji38] [emoji38] jf na uhalisia mtaani.
leo nikiwa kwenye daladala, mkuu mmoja akaanzisha mada kuhusu upinzani tz(kisa ilikuwa foreni). daladala zima kimyaa anasikilizwa yeye. alipochomekea uwezi wa jpm dhidi ya lissu watu karibia gari zima wakaanza kumpayuka.
huyu rais aachwe, asihusishwe na upuuzi wowote, lissu anatafuta huruma nk. yaani nikawaza mambo kadhaa.je jamaa kama alikiwa akipima upepo ameondoka na ujumbe gani!!!
[emoji38] [emoji38] jf na uhalisia mtaani.
leo nikiwa kwenye daladala, mkuu mmoja akaanzisha mada kuhusu upinzani tz(kisa ilikuwa foreni). daladala zima kimyaa anasikilizwa yeye. alipochomekea uwezi wa jpm dhidi ya lissu watu karibia gari zima wakaanza kumpayuka.
huyu rais aachwe, asihusishwe na upuuzi wowote, lissu anatafuta huruma nk. yaani nikawaza mambo kadhaa.je jamaa kama alikiwa akipima upepo ameondoka na ujumbe gani!!!
nilikaa kimya makusudi ili nisikie mtanange huo. dooh.Kumbe ni wewe? Ungesema tofauti ningeshangaa
na ukimsifia hadharani unapata faida gani, kuliko ukiamua kukaa kimya??Ukimsifia rais hadharani huna hofu ya kutekwa wala kuhujumiwa shughuli zako. Lakini ukionyesha kumpinga rais hadharani, kutekwa, kuhujumiwa shughuli zako ni njenje.
Hayo ni mawazo yako tu.Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo.
Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya kukatwa, basi option ya pili waliyonayo raia ni Membe. Mkimkata na yeye raia wanaona ni bora hata wampe Hashim Rungwe sababu angalau kwa mbaali ana uchungu na hali zao.
Mkiwakata hao watatu basi mjue uchaguzi utakuwa ni wenu peke yenu na watu watakuwa washafunga mahesabu hawana hata haja ya kusubiri hata hiyo Oktoba.
View attachment 1533917
View attachment 1533918
View attachment 1533919
na ukimsifia hadharani unapata faida gani, kuliko ukiamua kukaa kimya??
Kwanii msiwaachie wananchi wenyewe waamue?uzuri wasio na sifa hata wao wenyewe wanajijua.