Uchaguzi 2020 Msipompitisha Lissu watampigia Membe, msipompitisha Membe watampigia Rungwe, msipowapitisha wote raia watasusia uchaguzi

Kumbe ni wewe? Ungesema tofauti ningeshangaa
 
Ukimsifia rais hadharani huna hofu ya kutekwa wala kuhujumiwa shughuli zako. Lakini ukionyesha kumpinga rais hadharani, kutekwa, kuhujumiwa shughuli zako ni njenje.
 
Kama Ni kweli Mwisho wake utakuwa mbaya Sanaa. Maana mtu akiwa anafukuzwa kwa karibu na Jitu la kutisha Mwishowake uwoga hutoweka.
 
Ukimsifia rais hadharani huna hofu ya kutekwa wala kuhujumiwa shughuli zako. Lakini ukionyesha kumpinga rais hadharani, kutekwa, kuhujumiwa shughuli zako ni njenje.
na ukimsifia hadharani unapata faida gani, kuliko ukiamua kukaa kimya??
 
Hayo ni mawazo yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…