Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐢𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐣𝐚𝐧𝐣𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐣𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Simba haijawahi kuwa tishio kwa Yanga, Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote apa Tanzania. Simba ndio timu dhaifu kwa miaka mingi katika timu ambazo zimejaribu kuleta upinzani na Yanga.
Simba ndio timu yenye mchecheto zaidi na ndio iliyoweka rekodi ya kung'oa viti baadaya kufungwa na Yanga.
We kiazi hiyo mechi ambayo mashabiki walin'goa viti Simba haikufungwa
 
Umeishaambiwa hiyo mechi imeishapita, mfungeni Azam tukutane FA baas
 
Simba haijawahi kuwa tishio kwa Yanga, Simba ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote apa Tanzania. Simba ndio timu dhaifu kwa miaka mingi katika timu ambazo zimejaribu kuleta upinzani na Yanga.
Simba ndio timu yenye mchecheto zaidi na ndio iliyoweka rekodi ya kung'oa viti baadaya kufungwa na Yanga.
Utakuwa na makamasi ndani ya hilo fuvu lako la kichwa badala ya ubongo
 
Hivi wataalam wetu wa TFF, wametoa sababu gani iliyopelekea ule mkanganyiko na mechi kutochezwa?

please mwenye taarifa.
 
Simba wamepoteana awajui Yanga wanataka kufanya nini na hivi ndivyo Yanga walivyo wazuri ki mkakati. Kwasasa Yanga wanajua kila kinacho endelea ndani ya Simba Ila Simba awajui Yanga wanataka kufanya nini na hii ndio imekua njia ambayo Yanga imekua iki idhibiti Simba kwa Sasa.
Hao Yanga wanaongoza Ligi? Au kukimbia Mechi
 
Simba mnayoizungumzia ni ile iliyopigwa miguu ya sturi kule sauz? Au ile iliyofungwa na Prisons pamoja na Ruvu shooting?
Ni hii
FB_IMG_16224462094316994.jpg
 
Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua.

Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi.

Au muamue kupeleka Timu ila mjue kuwa mnaenda kukutana na dhahama ya Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC Kisha 'Ubingwa' unatangaziwa Kwenu na 'Kipigo' mlichokipata.

Ninasisitiza tena Kupanga ni Kuchagua.
Hatimaye Simba wamepatiwa point 3
 
Ilianzia hapa!
 
Attachments

  • VID-20210703-WA0067.mp4
    4.4 MB
Back
Top Bottom