Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐢𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐣𝐚𝐧𝐣𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐣𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
"hatujeji hatujeji"..kwa sauti ya mzee mpili wa pale utopoloni.
Simba punguzeni vitisho,watagoma kweli
Bora waingie mitini tu, hizo tano zikiingia watafukuza mpaka mpishi wa klabu.
Ni heri lawama kuliko fedheha!! Uto hatapeleka timu uwanjani!

Lawama ya kutokupeleka timu uwanjani inahimilika kuliko fedheha ya kupigwa mkono au wiki!! Ila ikitokea hivyo mwisho wa siku mambo yatafika FIFA!! Yakifika huko Tanzania haitabaki salama!!

Maana taarifa rasmi ya TFF ni kuwa serikali ndiyo iliyoagiza mechi isogezwe mbele!! Na FIFA hawataki serikali kuingilia mpira wa miguu. Ikithibitika serikali imeingilia TZ inafungiwa!!! Nguvu na jeuri ya uto iko hapo!!
Keshokutwa wananchi wana kikao cha wanachama. Kwa vitisho hivi ni wazi watakubaliana kutoingiza timu kuliko kupata kichapo cha paka mwizi.
Bao moja tu la Yanga likawapa mimba ninyi Mikia

Maneno meeengi kama Mwajuma wa Tandale kumbe hamna kitu, mmef
unzwa kuongea na Mume wenu yule Zeruzeru

Hahahaha........!

Mikia ni mikia tu.
 
Bao moja tu la Yanga likawapa mimba ninyi Mikia

Maneno meeengi kama Mwajuma wa Tandale kumbe hamna kitu, mmef
unzwa kuongea na Mume wenu yule Zeruzeru

Hahahaha........!

Mikia ni mikia tu.
masikini akipata matako hulia mbwata
 
Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua.

Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi.

Au muamue kupeleka Timu ila mjue kuwa mnaenda kukutana na dhahama ya Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC Kisha 'Ubingwa' unatangaziwa Kwenu na 'Kipigo' mlichokipata.

Ninasisitiza tena Kupanga ni Kuchagua.
Dah....
 
Tatizo la Simba siku zote ni kucheza mpira nje ya uwanja! Wakiingia uwanjani hugeuka na kuwa mlenda ndani ya dk 90!

Mbaya kuliko zote, ni kushikiliwa akili na yule mwehu wao Haji Manara!
 
Back
Top Bottom