Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

Leo mnalala na viatu
 
Naona hatimae mmechagua kupakatwa
 
Unapoongea jaribu kutunza na maneno ya baadae ndug
 
Mimi nimewaambia mara nyingi hii mikia akili zao zote wamewekeza kwa manara. Wanamsikiliza anachosema huyo tu wanapagawa.
Daby ya simba na Yanga sio ya kuiwekea mkeka kiwepesi wepesi eti ksbb timu fulani ina ukwasi,kwenye hii daby hakuna vitu hivyo.
Jana alfajiri wameamka na matarumbeta,kelele mji mzima. Mikia vichaa wengi,hasa hawa bodaboda,halafu perepete,kuchonga saaaana
 
 
Nimeamini John Boko ana akili kuliko viongozi na mashabiki wote wa Simba. Ukimsikiliza kabla na baada ya mechi unapata maoni ya mtu anayejua mpira ni nini kuliko kwasikiliza kina Manara wanaoamini viwango vya wachezaji wa Simba viko constant haviteteleki havishuki havibadiliki na hawachoki.
 
Wanamsikiliza huyu. Sikia anavyowaaminisha kibwege. Chezea daby wewe. [emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
Konyoooooooooo
 
Kweli mtoto akililia wembe mpe umkate mlicho kua mnakililia mmekipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…