Msishangae Diamond siku baba yake akifa akaandaa mazishi ya kifahari

Umeona sasa hapo tu ndio unapoona rangi halisi za yule mama na gata ukaelewa kwa kidogo tu kiini cha ugomvi wao ukiacha d angalia hata esma yule yan hii familia ni shida
 
ukweli hakuna mwanamke utaachana nae na akawa na mtoto asimlishe sumu mtoto.mimi solution nayoiona sio kuacha mtoto kabisa haijalishi umeyumba kivipi. Pia naomba ieleweke mtoto haihitaji pesa tuu. Unaweza ukawa unamhudumia kwa kila kitu hata zaidi unavojihudumia mwenyewe ila hela kama inapita kwa mama hawez sema baba katuma ila atajiweka katika mazingira kuwa kazihangaikia mwenyewe. Ndoo nikasema hata kama umeachana na mke basi siku moja moja unachukua mtoto unakaa nae kwako walau vi outing kidogo au hata ile kukuona kwa wewe ni baba inatosha.
Mimi ni kitoto changu mimi huwa mara nyingi ni mtu wa kutoka na nikipotea mwez. Sasa nisipokuwepo jion wakati anaona watoto wenzake wanawapokea babazao huwa nasikia nae anasononeka ooh na mimi babangu atakujaa tuu.najua huwa kanaumia sana na huwa najitahidi nikiwwepo basi kajisikie nipo. Kiukweli mtoto sio kutoa matumizi tu bali hata ile kuonesha nawe au unampa faraja inatosha kuliko kukimbia mazina. Humu kuna uzi ulitoka mama analalamika eti mtalaka wake anatoa 200k kwa mwez kwa mtoto tu, yaan Kwa mtoto ambae haendi shule laki mbili anaimalizaje. Yaan hata akisema anywe maziwa,pilau, na matunda mtoto mmoja tu hawez maliza kiasi chote labda kama ni vike vya mlimani city.
 
Umeona sasa hapo tu ndio unapoona rangi halisi za yule mama na gata ukaelewa kwa kidogo tu kiini cha ugomvi wao ukiacha d angalia hata esma yule yan hii familia ni shida
haha mama tatizo ningependa niwajue watoto wa yule baba kwa upande wao wakoje then ndo tujaji
 
Mkuu nimekuelewa vizuri sana ndo maana nikasema kwamba huyu nilizaa nae kabla ya ndoa hivyo basi yeye alikuwa kwao alipojifungualia na mtoto bado alikuwa mdogo hivyo huwezi kutoka na mtoto anayenyonya bila mama yake, sa hivi dogo anamwaka na miezi nane hivyo naweza kutoka nae na naenda nae popote pale, ninachoahukuru Mungu ni kwamba hakojoi kitandani wala hajikojolei na kujinyea hovyo maana pindi anapojisikia kwenda haja kuna ishara huwa ananionyesha na najua hapa anataka kufanya nini


Kifupi naweza kusema anaielewa vizuri tu mpaka napata matumaini ya kumpeleka Daycare mwakani
 
Kabisa mkuu, umenena kwelikweli, maana wakinababa wenye ubinadamu huamua kuondoka kumuacha mama na watoto wake ili kuepusha balaa! Maana kila siku tunasikia kwenye vyombo vya habari na wengine kuona kabisa baba kamchinja mama au mtoto wake kisa matatizo yao ya ndoa!! Kwa hio ukiona baba kaondoka kamwacha mama na wanae usikimbilie kumhukumu baba pengine kuna jambo kaliepusha, na tatizo lingine ni kwamba watu hupenda kusikiliza malalamiko ya upande mmoja.
 
Kama nae alivo kuwa hataki kuwasikia nasibu na bi Sandra akawatelekeza saizi mtt katoboa ndo kujifanya oooh nampenda bi Sandra ooo rafikiangu sana hahaha wanaume mjifunze kutotelekeza familia mlizo zianzisha ona sasa mzee Abdul anatetemeka tu kakonda balaa....

am better here
 
Kwanza hapa nilipo kama nitamtaliki mwanamke basi mtoto nitahakikisha nabaki nae mwenyewe labda mahakama iingilie kati, lakini kinyume cha hapo nitabaki nae mwenyewe
 
Mkuu kuna tofauti kati ya baba na spermdonor ...kuna wanaume akisha kutia mimba kala kona (spermdonor)kuna mwingine akisha kutia mimba anakua responsible na we we mpka mwisho na mtt analea (baba) sio kila mwanaume anauweza ubaba mkuu ...
am better here
 
hongera kaka kiukweli kina mama ndo wanaharibu watoto wa asilimia kubwa
 
Kwanza hapa nilipo kama nitamtaliki mwanamke basi mtoto nitahakikisha nabaki nae mwenyewe labda mahakama iingilie kati, lakini kinyume cha hapo nitabaki nae mwenyewe
hiii ndo point kubwa ukisema akake na mwanamke gharama ya kumtunza huyo mtoti itazid gharama wa ghorofa saba
 
Kw
Kwa hiyo una uhakika gani kama chanzo ni baba kama alimfuma bi sandra na kidume kitandan kwake akaamua ondoka ili aepushe zogo zaid utajuaje? Je tuna uhakika gani kama alikuwa hawahudumii na bi sandra akatumia hizo pesa kula vibenten mpk baba akaamua kusitisha?
 
mimi yule baba ataendelea kuwa bora maana pamoja na kushambuliwa lakin na imani laiti akisema atoe yaliyotokea hapo nyuma si ajabu familia inaweza pasuka zaidi. Hivi yule mama si mama wa mwandiga kweli yule?
 
Do your homework fam

am better here
 
mimi yule baba ataendelea kuwa bora maana pamoja na kushambuliwa lakin na imani laiti akisema atoe yaliyotokea hapo nyuma si ajabu familia inaweza pasuka zaidi. Hivi yule mama si mama wa mwandiga kweli yule?

Picha linaanza mama ana watoto kila mmoja na baba yake.

Unajua hapa duniani kuna binaadam wa tofauti sana,unaweza dhani ni malaika.au hakupaswa kabisa kuishi hapa.

Unaweza mtukana,msukuma,msema vibaya lakini akakaa kimyaa tu,mimi toka kipindi cha nyuma hizi habari zimeanza nilianza kuhusi dosari kwa mama wa mhusika,ingawa neno langu sio sheria.haikupita miaka mingi akaolewa na huyo mume wa sasa,nikapigia mstari mawazo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…