Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

IMG_0459.jpg
 
tupo kwenye ibada[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Kama huna Elimu ya kutosha ya Mambo ya Rohoni huwezi kuzielewa nyaraka za Mtume Paulo
(2Petro3:15-16)
Vinginevyo utakuwa unapoteza muda kuwaza eti Paulo alimtukana Mungu,kumbe mwenzako alishamaliza kazi ya Kuhubiri Injili ya Kristo na sasa Yuko Peponi amepumzika na anangoja Taji ya Haki,
(2Timotheo4:7-8)
Mna mbwembwe nyie watu, imani ya kutosha ya mambo ya rohoni ndio itakufanya uelewe kuwa huyo Paulo hajamtukana mungu?
 
Kwa kukusaidia tu, Kuna maneno kwenye Biblia unayatafsiri kwa muktadha. Yani yalivyotumika kwenye Sura hiyo ya Biblia. Neno upumbafu ulitumika na Paulo kuonesha kwamba kiwango Cha Chini Cha maarifa ya Mungu ndio kiwango Cha juu kabisa Cha maarifa ya mwanadamu .
kwahiyo mungu ana kiwango Cha chini Cha maarifa, kumbe nyie hamna adabu kwa Mungu
 
Ukiwaza kwa namna yako ya kibinadamu hautokaa uelewe hata maana ya andiko moja ndani ya Biblia.


Muombe Roho Mtakatifu akupe ufahamu wa kila andiko unalolisoma.

Haujaweza kuijenga hoja kwenye uzi wako. Hao Wakristo walimtukana Mungu wapi na leo wanamtukana wapi na vipi
Eti amuombe roho mtakatifu ampe ufahamu, wakristo kwann mkiishiwa hoja. Huwa mnakimbilia kwenye habari za roho mtakatifu 😂
 
Eti amuombe roho mtakatifu ampe ufahamu, wakristo kwann mkiishiwa hoja. Huwa mnakimbilia kwenye habari za roho mtakatifu 😂
Ukishaanza sentesi na neno ETI. Kinachofuata ni ujumbe wa shetani
 
Ukishaanza sentesi na neno ETI. Kinachofuata ni ujumbe wa shetani
nyie hiyo dini yenu ni ya wajanja wachache tu wameibuni nia na madhumuni wawapige pesa nyie mifugo (kondoo)
 
Hawa ndio wale wanaisoma Bible Kam odds za wasafi bet *****
 
UNAJUA KWANINI WAKRISTO WANAKATAZWA NA VIONGOZI WAO WASIJADILIANE KUHUSU DINI YAO NA WAISLAAM? WANAJIFANYA ETI WANAOGOPA KUGOMBANA KISA DINI!

NI KWA SABABU WANAJUA WAZI... HAWANA HOJA ZILIZOWAZI NA ZA KUTOSHA ZA KUWATHIBITISHIA UKWELI NA UHAKIKA WA DINI YAO...

ETI WANASEMA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU... HEBU WATUPE ANDIKO LOLOTE KWENYE BIBLIA LINATAJA PASI NA SHAKA KUWA "BIBLIA NI KITABU CHANGU MUNGU"...

SISI KWENYE QURAN LIPO ANDIKO LINALOTHIBITISHA NA KUSEMA QURAN NI KITABU CHA MUNGU...
allh si ndiooo mungu wenu??? Sasa anatuhusu nini sisi wakristoo??? Msilazimishe bana!
 
Back
Top Bottom