Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

tupo kwenye ibada[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Mna mbwembwe nyie watu, imani ya kutosha ya mambo ya rohoni ndio itakufanya uelewe kuwa huyo Paulo hajamtukana mungu?
 
kwahiyo mungu ana kiwango Cha chini Cha maarifa, kumbe nyie hamna adabu kwa Mungu
 
Eti amuombe roho mtakatifu ampe ufahamu, wakristo kwann mkiishiwa hoja. Huwa mnakimbilia kwenye habari za roho mtakatifu 😂
 
Eti amuombe roho mtakatifu ampe ufahamu, wakristo kwann mkiishiwa hoja. Huwa mnakimbilia kwenye habari za roho mtakatifu 😂
Ukishaanza sentesi na neno ETI. Kinachofuata ni ujumbe wa shetani
 
Ukishaanza sentesi na neno ETI. Kinachofuata ni ujumbe wa shetani
nyie hiyo dini yenu ni ya wajanja wachache tu wameibuni nia na madhumuni wawapige pesa nyie mifugo (kondoo)
 
nyie hiyo dini yenu ni ya wajanja wachache tu wameibuni nia na madhumuni wawapige pesa nyie mifugo (kondoo)
Shukran.
Wacha tuendelee kupigwa sijalalamika bado
Lini nilishawwhi kuja kukulalamikia kuwa tunapigwa?
 
Ficha upumbavu wako mtoa mada na uheshimu dini za watu.
 
Hawa ndio wale wanaisoma Bible Kam odds za wasafi bet *****
 
allh si ndiooo mungu wenu??? Sasa anatuhusu nini sisi wakristoo??? Msilazimishe bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…