mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Simu ni yako,bando lako ID fake ni yako,bado unalia na takwimu za Yanga,andika ukolo wako dhidi ya Yanga hakuna atakayekushika mkono wala kukuzimia data KOLOHabari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
Povu la nini!! Habzri ya mjini iko pale pale! Lengo la utopolo kwa mujibu wa msemaji Haji manara si kufika hatua ya makundi bali kuvuka hatua ya makundi!! Kwa utopolo kufika Nigeria tayari wamevuka hatua ya makundi!! Kwa aibu hiyo kwa nini usitafutwe mkakati wa kuwapumbaza wanautopolo kwa kuwapa takwimu za zisizohusiana na soka tena za msimu uliopita na wanautopolo wataridhika na hilo na maisha yaendelee !Simu ni yako,bando lako ID fake ni yako,bado unalia na takwimu za Yanga,andika ukolo wako dhidi ya Yanga hakuna atakayekushika mkono wala kukuzimia data KOLO
.Povu la nini!! Habzri ya mjini iko pale pale! Lengo la utopolo kwa mujibu wa msemaji Haji manara si kufika hatua ya makundi bali kuvuka hatua ya makundi!! Kwa utopolo kufika Nigeria tayari wamevuka hatua ya makundi!! Kwa aibu hiyo kwa nini usitafutwe mkakati wa kuwapumbaza wanautopolo kwa kuwapa takwimu za zisizohusiana na soka tena za msimu uliopita na wanautopolo wataridhika na hilo na maisha yaendelee !