mpyuuu life is more than those stuvz
vitu vya kupita tu hivyo
land cruiser na apartment ndo ukaona ishu sana buhahaha
the issue is is she going to have peace of mind with those stuvz
will that service continue in perpetuity till the end of the world?
bila hofu ya Mungu mdada anaingia mkenge tu wala sio sababu ya kufanya mtu atembee na mzee
Hahaaaa! We waache TEAM FREE PU! Wagawiane bureeeee kwa chati! Mjini hapa sijaja na mbio za mwenge ili nipake rangi majogoo!
And all the piece of mind on earth doesnt put food on the table does it? Peace of mind unajambishwa kodi ya watu si utakunyaaaaa? Easier said than done!
sasa unaenjoy nn hapo? bora mtupe sisi vijana tunaoisimamia mpaka inapata moto,unakunwa kisawasawaWazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!
Rudi ktk kipande kinachozungumzia siku za mwisho na majibu ya majinn ..juu ya uhusiano wao na binadamu.Wanajibu exactly as wanachofanya watu hapa....kuwa WAO BINADAMU NDIO WALITUTONGOZA...unaweza tendea haki fikra hapa.
key point...
MONEY POWER and WEALTH.
hakuna cha zaidi hapo!
DAR ES SALAAM HII HII UPENDWE TU FROM NOWHERE?
mazungumzo yoote from A to Z ni costing tu zinazungumzwa, tena zimelalia upande mmoja tu wa mzee!
We don't give a f..ck if they do,there are lot more for everyone. ONE FOR ALLKwa kwelii kwa halii hiyo wazeee watawanyang'anyeni videmu vyenu
mbona stori zenyewe hazina muingiliano...af za uongo....
anyway ujumbe wako umefika..."bila uongo, utaishia kugonga malaya peke yake" #kalagabaho .
Jaribu tati ila kua makini maana kakiwa kazee sana unaweza pata mada kumbe utamu ulimkolea!
Wazee wanajua ku care vijana wao kila siku mikakati kama serikali ya tz.
Aisee...!!
Alafu icho kiboyfriend kikija utaona kinavyojishauwa kubadili chanel kwenye 63Nch mara utakasikia bby naitaji wisky wakati hata bei yake hakajui vinabore hivi vijamara hapo kimekalia sofa wala hakajui imetoka wapi alafu Ice kinafungua kwa speed kikishalewa hiyo wisky hata luku hakanunui lol tupa kule