Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

mpyuuu life is more than those stuvz
vitu vya kupita tu hivyo
land cruiser na apartment ndo ukaona ishu sana buhahaha
the issue is is she going to have peace of mind with those stuvz
will that service continue in perpetuity till the end of the world?
bila hofu ya Mungu mdada anaingia mkenge tu wala sio sababu ya kufanya mtu atembee na mzee

And all the piece of mind on earth doesnt put food on the table does it? Peace of mind unajambishwa kodi ya watu si utakunyaaaaa? Easier said than done!
 
Hahaaaa! We waache TEAM FREE PU! Wagawiane bureeeee kwa chati! Mjini hapa sijaja na mbio za mwenge ili nipake rangi majogoo!

Kubwa la maadui hawataki wafeeeeee
 
Na wazee haohao ndo wengi walio kwenye gridi ya taifa unapewa gari na virusi juu,penda tu vitu vya bure
 
Khu jamani nitafutieni na mimi kababu ka hivyo.
 
Alafu icho kiboyfriend kikija utaona kinavyojishauwa kubadili chanel kwenye 63Nch mara utakasikia bby naitaji wisky wakati hata bei yake hakajui vinabore hivi vijamaa hapo kimekalia sofa wala hakajui imetoka wapi alafu Ice kinafungua kwa speed kikishalewa hiyo wisky hata luku hakanunui lol tupa kule
And all the piece of mind on earth doesnt put food on the table does it? Peace of mind unajambishwa kodi ya watu si utakunyaaaaa? Easier said than done!
 
Wazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!
sasa unaenjoy nn hapo? bora mtupe sisi vijana tunaoisimamia mpaka inapata moto,unakunwa kisawasawa
 
Just quick qn,ulikioma cheti cha angaza cha Huyo mzee?
Wadada bana wengi wenu ubongo mdogo sana u don't think u can work na kupata those vx by uaself duuu?
Na bado mnataka haki sawa?manina
 
Rudi ktk kipande kinachozungumzia siku za mwisho na majibu ya majinn ..juu ya uhusiano wao na binadamu.Wanajibu exactly as wanachofanya watu hapa....kuwa WAO BINADAMU NDIO WALITUTONGOZA...unaweza tendea haki fikra hapa.

Ulikuwa makini na chaguo lako, mwanaume anayejitambua hawezi kufanya haya unless mnajuana mlikotoka!!
 
Unatafuta uhalali wa kuchepuka...rudi kwenye lift halafu muulize huyo babu km anamfanyia hivyo mkewe????
Chepuka kwa raha zako km gari ni muhimu kuliko 'k' yako
 
key point...

MONEY POWER and WEALTH.

hakuna cha zaidi hapo!

DAR ES SALAAM HII HII UPENDWE TU FROM NOWHERE?

mazungumzo yoote from A to Z ni costing tu zinazungumzwa, tena zimelalia upande mmoja tu wa mzee!

kama mheshimiwa rais mwenyewe anaonekana zaidi kwenye segere za diamond iwe dodoma, dar au new york, unategema mabinti wapate wapi security??

wacha wasee wenye pesa zao wamege keki tamu, tutaokota makombo tutaishi

i dont hate men who "eat it" because of they dont, hawa mabinti watapotea mazima
 
mbona stori zenyewe hazina muingiliano...af za uongo....

anyway ujumbe wako umefika..."bila uongo, utaishia kugonga malaya peke yake" #kalagabaho .
 
Aisee...!!

ohooo hujui mku!?? nenda kahonge kwelikwelii uone kama hujalia! we danganyaaaaaaaa danganya smartly utamlala kila umtakaye tena na siku hizi kupata UKIMWI hadi ulogwe utafurahi mwenyewe.
 
Alafu icho kiboyfriend kikija utaona kinavyojishauwa kubadili chanel kwenye 63Nch mara utakasikia bby naitaji wisky wakati hata bei yake hakajui vinabore hivi vijamara hapo kimekalia sofa wala hakajui imetoka wapi alafu Ice kinafungua kwa speed kikishalewa hiyo wisky hata luku hakanunui lol tupa kule

mmmhh....aaaahhh....eeehhh....yani...mmmmh...dah nimesahau ninachotaka kuandika.. Ngoja niwahi wali kuku kwa gf kwanza.....nikishiba narudi
 
Back
Top Bottom