Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

caring...ina maana pana sana na hutegemea na mtu anavoichukulia,wewe naona umeweka pesa mbele,wenzako wakurya caring ni ashushiwe kifinyo nzito,sema hawa wazee ni adabu chafu,utakuta hata familia yake haipati aina ya huduma hizo za hicho kicheche,hawana lolote!
 
Wazee waacheni tu wanajua nini thamani ya mwanamke, waache vijana waendelee kulialia tu.
 
Hapo ndipo wazee viagra inawahusu sana kulipa kisasi cha pesa yake. mwisho kudanja kifuani mwa binti
 
Wazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!

Kwa hiyo vijana tunaokwenda tripu nne na mshiko hakuna ndio imekula kwetu?
 
wazee wamemaliza na kutimiza future zao kama watoto,nyumba, gari na maendeleo mengine ya kiuchumi
so wanatafuta wa kufa nae tu endeleeni kufurahia vizawadi
reference liumba na zawadi ya gari jekundu
 
Huo ni udukuzi. Ulikuwa unasikiliza, yanakuhusu nini? Tabia mbaya hiyo.
 
And all the piece of mind on earth doesnt put food on the table does it? Peace of mind unajambishwa kodi ya watu si utakunyaaaaa? Easier said than done!

individual efforts will put food on the table excluding kutembea na wazee if one thinks well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…