Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Sijasoma ila
 
Kuna Rais aliyemshinda Mwendazake Kwa Ufisadi Nchi hii?
Magufuli Bora alikufa alikuwa Mwizi kupindukia
 
Safi sana🙏🙏🙏
 
Kabla hajafa MORUWASA walikuwa wanakimbiza mradi wa maji pembezoni mwa Morogoro.haukusimama kwa kukosa fedha.
Baada ya Kwendazake ,mradi umeimama kisa tunasubiri fedha za wahisani.
TUTAMKUMBUKA JPM,ILA MWIGULU NA WALIO WAKUTA WANAELEWANA?
 
Kwa hiyo Mayanga construction niya nani? Kwa hiyo Chato ina hadhi ya kuwa mkoa? Kwa hiyo tenda ya kujenga Chato international airport ilitangazwa na bunge likapitisha budget? Kwa hiyo Lissu akustahili kupewa stahili zake mama Samia kampendelea? Kwa hiyo Makonda sio Bashite wanamsingizia tu kuwa alitumia cheti cha mtu? Nisaidie ugomvi wa Prof Assad aliyekuwa CAG na jiwe chanzo chake ni nn mpaka katiiba ikavunjwa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa Jamaa wamepoteza muelekeo. Na wengi wao ni wale ambao 2025 hawana wa kuwabeba.
 
Kuna Rais aliyemshinda Mwendazake Kwa Ufisadi Nchi hii?
Magufuli Bora alikufa alikuwa Mwizi kupindukia
Bora uongozwe na kiongozi mwizi anayejua kutafuta na kutumia sehemu kubwa ya alichokitafuta kufanya vitu vikaonekana kwa ajili ya maslahi ya wengi. Kuliko kuwa na kiongozi mwadilifu ambaye hajui kutafuta, au akitafuta, kile alichokitafuta, hata hakionekani kimefanya nini au kimeishia wapi!!
 
Tutahakikisha anaendelea Kuishi. Kizazi cha wapumbavu kitapita, werevu watashika hatamu.

Ni muda tu!
Hayati JPM aliipenda Tanzania na Watanzania kwa dhati na kutoka moyoni.
Itatuchukua muda kumpata kiongozi kama yeye. Uzuri watu wanajua kama unawapenda au huwapendi. Hili wala hata halihitaji maneno mengi. Upendo huoneshwa kwa vitendo na wala si kwa maneno tu.
 
Hakika his love was pure and true
 
Kuna Rais aliyemshinda Mwendazake Kwa Ufisadi Nchi hii?
Magufuli Bora alikufa alikuwa Mwizi kupindukia
Tulidanganyika wote tukamwamini alituhadaa na kutukejeli katuona sisi wajinga lakini mungu husimamia haki za wajinga kama sisi tuliomuamini na mbwembwe zote anashughulikia mafisadi kumbe anatengeneza njia mpya ya mafisadi wake alafu anakua mali kweli kweli ukithubutu kusema mbona hiki sio sawa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…