Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Sukuma Gang mnalo mwaka huu,tutamsema mpaka huo mzoga ugeuke huko kaburini

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Waliubeba mzoga nchi nzima wakifiri utafufuka sijui ni nani aliwadanganya kwamba wafanye hivyo kweli himaya ya Magufuli imetufundisha mengi Watanzania kama hamjaelewa ufedhuli ni nini basi mtakuwa watu wa ajabu sana na mnahitaji maombi mkombolewe kutoka kwenye fikra za kutawaliwa na mnyapara wa chato
 
Wanaojaribu kumuua JPM hawatafanikiwa. Wanatashindana naye, lakini hawatashinda. Nadhani unakubaliana nami.
 
Hujui lolote kibaka wewe. We weka bando uendelee kupiga kelele humu. Muda ukifika mumeo hata ubelgiji ataona hapafai, atataka akimbilie kuzimu kabisa
Akimbilie wapi wakati mwenyekiti wenu kasalimu amri kwa upinzani. She's too weak to fight against the opposition she had to opt for a "handshake".

The biggest losers come 2025 are sukuma gang whilst Mbowe, Lissu, and the entire Chadema fraternity will be laughing all the way to the statehouse.

Wanaojaribu kumuua JPM hawatafanikiwa. Wanatashindana naye, lakini hawatashinda. Nadhani unakubaliana nami.
Hawatashinda kivipi wakati ameshaoza? Hiyo 2025 ni Samia vs Chadema so upende usipende Rais wako atakua anti JPM. Kama mnajiamini muanzishe chama msote rumande na virungu juu akili ziwakae sawa.
 
The biggest losers come 2025 are sukuma gang, Mbowe, Lissu, and the entire Chadema fraternity will be laughing all the way to the statehouse.

Rais wako atakua anti JPM. Kama mnajiamini muanzishe chama msote rumande na virungu juu akili ziwakae sawa.
Tukisema mmejaa visasi, mnaumuka.

Kumbe CHADEMA inataka kushika Dola ili ijeiwasoteshe watu rumande! Kisa? Vurugu

Ni vizuri huwa mnatubu mliyoyafanya....mlisota kweli na sasa mna lilia lia na kuwatukana Wananchi kwasababu mlisota wenyewe.
 
Kuanzisha chama I mean between now and 2025 na Rais anafahamika ni WA chama gani. Na nmesema hayo maana Samia ni Anti na JPM and so is Chadema so kama hamtaki hivyo vyama viwili aanzishe Cha kwake sio alalamike why wote tunamshambulia JPM.

Btw Chadema tupo wazi kabisa hata Lowassa alisema angeshinda baraza la mawaziri lingekua split kwa CCM na Chadema.

Kama tungekua na visasi unadhani Lissu angekutana na Samia Belgium? Au Mbowe angeenda ikulu baada ya kutoka jela? Au Lema angemtetea Sabaya atolewe jela licha ya yote aliyomfanyia?
 
Hawatashinda kivipi wakati ameshaoza? Hiyo 2025 ni Samia vs Chadema so upende usipende Rais wako atakua anti JPM. Kama mnajiamini muanzishe chama msote rumande na virungu juu akili ziwakae sawa.

Bado anaishi, ndiyo maana vita dhidi yake haitawahi kuisha.
 
Kuanzisha chama I mean between now and 2025 na Rais anafahamika ni WA chama gani. Na nmesema hayo maana Samia ni Anti na JPM and so is Chadema so kama hamtaki hivyo vyama viwili aanzishe Cha kwake sio alalamike why wote tunamshambulia JPM.
Naweza kutofautina na mtazamao wako hali kwamba zina ufanani. SSH, hana jinsi, inabidi awe hivyo! Ndio unaona yeye hawezi kuwa anapayuka Anti what have you! akijuwa itamkosti Hayo amewaachia CHADEMA, they have nothing to loose, wachambuzi wanadai CHADEMA ndiye wenye mfupa mgumu. Watafune, na wakimaliza ndooo 👇 a reward!
Btw Chadema tupo wazi kabisa hata Lowassa alisema angeshinda baraza la mawaziri lingekua split kwa CCM na Chadema.
Na ndio kitaja tokea, baada ya maridhiano. Hakuna mda wa kuanza mchakato wa Katiba mpya between now and then! Wanajua hilo, seeema wanapiga porojo na hadaa kubwa. Ukiniuliza hatma ya maridhiano hayo nakwambia wazi....kumegeana dola. CCM anabaki mshindi.
Kama tungekua na visasi unadhani Lissu angekutana na Samia Belgium? Au Mbowe angeenda ikulu baada ya kutoka jela? Au Lema angemtetea Sabaya atolewe jela licha ya yote aliyomfanyia?
Hayo ni rahisi kunga'amua.
Nikuulize ni Raisi gani katika Dunia ya Siasa ambaye alishatoka nchini mwake kwenda kumjulia hali mgonjwa nga'mbo? Be honest....yaani Raisi aache majukumu yake apange Safari kwenda nje kumuona mgonjwa? Mnajaribu kutumia kila aina ya upindishaji kuonyesha ukatili, ambao kiuhalisia. Haukuwepo.

Mbowe kwenda Ikulu was Just a Political ploy,Just another picture op. Na imejenga taswira ya 'Kuna maridhiano' mchezo ule Ulipangwa, kama sio Kishinikizo cha......"amefungua nchi"

Lema ndio usiseme. Ameapa kuja kumwaga sumu, na ameshafanya hivyo,a true Proselyte! Na yeye ana hadaa kama hizo ulizoziweka....kutembelewa hospitali, kwenda ikulu, na sasa anadai anataka kwenda kumuona Sabaya. Ati wana Roho safi! subutu.
 
Hakuna sababu yeyote ile, hakuna mantiki yeyote ile, zaidi ya visasi binafsi vya kumdemonize Hayati Raisi. Zaidi ya hapo, ni kumezeshwa siasa za mabepari wa kikaburu ambao kiuhalisia ndio walioporomoka Kiuchumi. Visasi vyao ndivyo navyo wamebebeshwa CHADEMA as a get out of jail condition!

Najua wanaumia rohoni, ila hawana jinsi. A price to pay for freedom and 'Baraka'.
 
Kuipenda nchi tu haitoshi. Kuna dynamics lazima uziweke ku contain hilo. Hapo ndio alipoteleza
 
Siyo kweli, Chadema wamemkosoa JPM tokea akiwa hai why sahivi mpaka "watumwe" na SSH?!
 
honest....yaani Raisi aache majukumu yake apange Safari kwenda nje kumuona mgonjwa?
Mbona SSH akiwa Vp alipokua kwenye vikao vizito Nairobi alitoroka kwenda kumuona Lissu hospitalini? So Did Mwinyi na uzee ule ila alipanda ndege kumjulia hali Lissu. So kama hujazoea huo moyo (Obviously coz JPM hakuna na ubinadamu) ndio mjifunze Sasa kwamba wapo watu wanaona utu ni mkuu kuliko Urais (SSH na Mwinyi).
 
Mbowe kwenda Ikulu was Just a Political ploy,Just another picture op. Na imejenga taswira ya 'Kuna maridhiano' mchezo ule Ulipangwa, kama sio Kishinikizo cha......"amefungua nchi"
Hivi unamuona Mbowe bwege bwege tu? Kwamba anachezewa akili na yeye amekaa tu kama sanamu? Ni hivi Chadema tunataka katiba mpya na tume huru if that means kuweka maridhiano na CCM be it maana katiba mpya ikipatikana hata akija Rais dikteta tutamdhibiti.
 
akina sisi tunaelewa kabisa, akina wale wanaelewa sana ila watazuga kwa ukakasi adi mwisho wa maisha yao.
 
Kwanini hawamkosoi samia sahizi? Au kila kitu kiko shwari nchini?
Anakosolewa sana unless hufuatilii mikutano. Juzi tu karatu Msigwa kasema hakuna Maji miaka 60 ya uhuru sababu ya uongozi mbovu wa nchi.

Sosopi naye kafanya mkutano Kilosa kamkaanga Samia kwa bei za bidhaa.

Same to Heche kaongelea miaka 60 ya uhuru licha ya madini wanafunzi hawana madawati.

Tofauti ni kwamba anakosolewa ila hatuna ugomvi naye ni hoja vs hoja sio chuki au vurumai isiyokua na sababu.
 
Anakosolewa wapi wewe mnataka mumfanye nani mjinga. Vitu nyeti kibao vya kipuuzi katika serikali hii ya mpito ila mnaojiita upinzani mko kimyaa kama hamuishi nchi hii. Matokeo yake mnawatukana bodaboda na machinga. Rais wa mpito kakanyaga katiba kufuta kesi pasi na maamuzi ya mahakama mko kimyaaa. Angekua magufuli hapo mngepiga kelele mpaka mate yawakauke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…