Wewe kama unashukuru shukuru peke yako... na wakati unaendelea kushukuru pitia matatizo waliyopata Maumau huko Kenya..., na kama hautapata data za kutosha pitia pia huko South Africa ingawa ilikuwa ni Waigereza kwa Boers baada ya Muingereza kupokea kichapo ndio alivumbua na kuja na concentration camps (ingawa hizi wanshutumiwa sana Wajerumani dhidi ya Wayahudi lakini it was perfected by the English way, way before).... Na unyama huo waliutumia pia Kenya....ndiyo! na siyo wakenya tu hata sisi pia tulipaswa kushukuru Christians walivyokuja ...
Wewe kama unashukuru shukuru peke yako... na wakati unaendelea kushukuru pitia matatizo waliyopata Maumau huko Kenya..., na kama hautapata data za kutosha pitia pia huko South Africa ingawa ilikuwa ni Waigereza kwa Boers baada ya Muingereza kupokea kichapo ndio alivumbua na kuja na concentration camps (ingawa hizi wanshutumiwa sana Wajerumani dhidi ya Wayahudi lakini it was perfected by the English way, way before).... Na unyama huo waliutumia pia Kenya....
Ila ndio hivyo sababu Historia inasimuliwa zaidi na Victor sishangai wewe leo kushukuru maswahiba yaliyowapa your fellow brothers....
Unabishana na anti America udini umewajaa.swali rahisi kwako, kama wazungu na USA ni wabaya kiasi hicho, how is it that dunia nzima wanataka kwenda kuishi USA? kwa nini dunia nzima haikimbilii afrika, china, russia, arabian au hata japan? kwa nini kila mtu na ni dunia nzima anataka kwenda kuishi USA ?
immigrants groups in Amerika USA (pichan chini) waafrika pekee yake ni yaidi ya 2.8 million hawa wametoka afrika straight na hawa hawana uhusiano na utumwa, kuna 2.2 milion chinese, 2.9 milion indians, why not the other way round kuna wazungu milioni ngapi china au india ?
View attachment 3476045
...
Unabishana na anti America udini umewajaa.
Si wanakuwa na asili ya TanzaniaWaksiha ukana uraia wa Tanzania, huwezi kuwajua tena hata wakiwa maseneta. kwani hawatahusisha na Tanzania tena.
Kuna mtu kasema wazungu wa USA ni wabaya kiasi hicho ? Hivi unajua USA imejengwa kiasi gani ni immigrants kuanzia kina Carnegie, Italians mpaka asians waliojaa Silicon Valley ni sababu it was depicted as the Land of the Free na Pursue of Happiness; hio ndio image iliyojijengea na watu walipenda kuliishi hilo (hio ndio USA iliyofahamika atleast katika our generation) hapo siongelei generation zilizofanya lynching ya watu weuse au mauaji ya Apache Indians (Sababu kama wastaarabu sio Vema kuwahukumu watoto kwa Sins of their Fathers)...swali rahisi kwako, kama wazungu na USA ni wabaya kiasi hicho, how is it that dunia nzima wanataka kwenda kuishi USA? kwa nini dunia nzima haikimbilii afrika, china, russia, arabian au hata japan? kwa nini kila mtu na ni dunia nzima anataka kwenda kuishi USA ?
With all Unafiki put aside majibu nimekupa hapo juu, people love to be free to do what they do people always have hope na ndio maana hata huku kuna watu wengi sana wanatoka mikoani na kwenda Dar hata kama wanaishi mitaroni the dream is worth it and at least sio USA pekee kuna nchi nyingi za developed countries the System works (Mfano Healthcare ya UK) ila that is beside the point mimi nimekuwekea facts na kuanzia mwanzo mtiririko wa Hoja zangu ni kama ifuatavyo:-immigrants groups in Amerika USA (pichan chini) waafrika pekee yake ni yaidi ya 2.8 million hawa wametoka afrika straight na hawa hawana uhusiano na utumwa, kuna 2.2 milion chinese, 2.9 milion indians, why not the other way round kuna wazungu milioni ngapi china au india ?
View attachment 3476045
...
mbona hao wapo wengi sana lakini wanatambulika kama waamerika tu, kwani huwa hawajihusishi tena na nchi iliyowatupa. Wengi wao wako kwenye makampuni ya biashara na taasisi za elimu; ila Ila ukienda huko Europe utakutana nao wengi sana wakiwa kwenye siasa kama mameya na wabunge.Si wanakuwa na asili ya Tanzania
Kuna mtu kasema wazungu wa USA ni wabaya kiasi hicho ? Hivi unajua USA imejengwa kiasi gani ni immigrants kuanzia kina Carnegie, Italians mpaka asians waliojaa Silicon Valley ni sababu it was depicted as the Land of the Free na Pursue of Happiness; hio ndio image iliyojijengea na watu walipenda kuliishi hilo (hio ndio USA iliyofahamika atleast katika our generation) hapo siongelei generation zilizofanya lynching ya watu weuse au mauaji ya Apache Indians (Sababu kama wastaarabu sio Vema kuwahukumu watoto kwa Sins of their Fathers)...
Sasa kinachoendelea sasa hivi watu tunaona kwa uwazi na bila kificho ni return of the dark days and maybe this is the begginning of the decline of an Empire; Historically Empires zilizopita zimepitia haya
With all Unafiki put aside majibu nimekupa hapo juu, people love to be free to do what they do people always have hope na ndio maana hata huku kuna watu wengi sana wanatoka mikoani na kwenda Dar hata kama wanaishi mitaroni the dream is worth it and at least sio USA pekee kuna nchi nyingi za developed countries the System works (Mfano Healthcare ya UK) ila that is beside the point mimi nimekuwekea facts na kuanzia mwanzo mtiririko wa Hoja zangu ni kama ifuatavyo:-
- Moja huyu aliyeambiwa arudi kwao nimemjibu mdau kwamba huenda kwa kutoka huko kwao alikuja huku akidhani ni tofauti na kwao ndio maana anapigania na huku pasiwe kama kwao (alipokuja na palivyo sasa ni vitu viwili tofauti)
- Hata hao wanaomwambia arudi kwao technically na wao hapo sio kwao
- Nikakujibu wewe unayesema hao ndio wamejenga mji nikakuuliza waliokuwepo walitaka mji wao uwe kama ulivyo sasa au walikuwa na different ways of life
- Unaowashukuru waliokuja /kuvamia kwako huenda ni sababu ya indoctrination ulikuwa fed tangia utotoni kwamba hao wanyonyaji na waliowaita mababu zako wapumbavu walikukomboa na sio kukuharibia (Those were the dark ages na mstaarabu yoyote hawezi kuona kama lilikuwa jambo jema)
Hapa unaongelea nini Immigrants au watu wa ulaya au unaongelea uvumbuzi wa mambo na unawataja wachina katika ugunduzi ?!!! Hivi unajua wakati Ulaya western bado wanajisaidia mitaroni huko China watu walikuwa na civilization tayari na kutumia uchafu wao kama mbolea ? Au unadhani hizo Great wall of China zilitengenezwa lini ? Kwa kujiongezea Elimu pitia ni Inventions ngapi ziligunduliwa China na nyingine kuwa credited to western; au kuna Scholars wangapi kina Confucius au Majemadari kina Sun Tzuhao akina carnegie ni watu gani? si ni wazungu au walikuwa ni chinese ?
Usiseme hawajihusishi mkuu, Wana ndugu, wazazi na marafiki huku, na pia huyo ilhan Omar pia hajihusishi kisiasa na Somalia na anatambulika kama muamerika lakini ana ndugu, wazazi waliopo somaliambona hao wapo wengi sana lakini wanatambulika kama waamerika tu, kwani huwa hawajihusishi tena na nchi iliyowatupa. Wengi wao wako kwenye makampuni ya biashara na taasisi za elimu; ila Ila ukienda huko Europe utakutana nao wengi sana wakiwa kwenye siasa kama mameya na wabunge.
Hapa unaongelea nini Immigrants au watu wa ulaya au unaongelea uvumbuzi wa mambo na unawataja wachina katika ugunduzi ?!!! Hivi unajua wakati Ulaya western bado wanajisaidia mitaroni huko China watu walikuwa na civilization tayari na kutumia uchafu wao kama mbolea ? Au unadhani hizo Great wall of China zilitengenezwa lini ? Kwa kujiongezea Elimu pitia ni Inventions ngapi ziligunduliwa China na nyingine kuwa credited to western; au kuna Scholars wangapi kina Confucius au Majemadari kina Sun Tzu
By the way hata huko USA (kama unadhani issue ni rangi ya ngozi) unawajua kina Onesimus; Benjamin Benneker, George Washington Carver ? Na kama issue ni uzungu unajua hata hizi so called Arabic Number ni infact Indian Numbers ambazo waarabu waliziona huko na kwa kufanya hivyo wakatuondolea shida ambayo tungepata kama bado tungeendelea na roman numbers ?!!!
Kwa faida yako nikuache na Msemo wa Greats waliopita....
If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants.
Una uhakika na ulichokiandika na ukitakiwa kuonesha aya iliyohalalisha hilo unaweza kuonesha?Ila kwenye uislamu hii inakubalika Taqqiya kama ilivyo kula kiti moto kwa kujificha.
adriz The Consigliere Jagina Adiosamigo
Point ya msingi hapa ni hilo la kuzaliwa Somalia labda ndiyo inayoweza kumnyima uhalali na ujasiri wa kumvimbia Trump na Marekani yakeBabu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.
Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.
Ungrateful Woman.
Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.
Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.
Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
Kwahio unadhani dunia imeanza jana sababu wewe umezaliwa leo ?!! Unajua kwamba happenstances ya jana ni causative ya kitu kitakachotokea kesho ?naongelea leo hii karne ya 21, mambo yaliotokea miaka 5000 huko nyuma ni mjadala mwingine,
Niambia ni Invention gani iliyogunduliwa miaka ya hivi karibuni 21st Century zaidi ya kurudia zile zile theories labda na sasa uwezo wa materials na ku-perfect yaliyokwisha fanywa na fore fathers; la vyuo ndio yale yale marketability mtu akisema amesoma Havard akirudi nchini kwao anaonekana mtu wa maana zaidi na sio Havard tu hata Cambridge, Oxford n.k. (hilo ni pamoja mizizi ya colonial mentality) as well as hivyo Vyuo kuweza kujimarket; By the way tukitaka kuongelea Elimu hivi unajua hata University ya Kwanza ilikuwa wapi ?leo hii wachina, wajapani, waarbu wote kwa namna moja au nyingine wamejifunza kutoka western countries, na nina uhakika wao (wachina) wala hawana tatizo na hilo na wanakubnali kwamba walikuwa nyuma na ili weweze ku catch up na western countries ni lazima wajifunze ktk kwao na ndiyo maana leo hii > 80% ya graduate students wa science na engineering kwenye top universities us ni asians,
Unajifunza nini au unadhani huko kwenye Vyuo wanafundisha kupaa na ungo kwamba ukiwa Bongo ni mjinga ukirudi unaweza kubadilisha maji kuwa asali ? If anything tunahitaji emancipation from mental slavely kwa wewe kudhani kwamba ukienda nje kujifunza ndio utaelimika kupambana na mazingira yako no wonder economically kwa hizi karne za karibuni utaendelea kuwa second best...wanajifunza na kurudisha kwao nyumbani sisi tumebakia na ujinga wa sijiu ukoloni kana kwamba sisi pekee ndiyo tuliotawaliwa badala ya kujifunza ili tutoke hapa.
Mchina ni industry of the world hizo pikipiki zisingekuja huenda ungetembelea Swala (sababu hata Phoenix ni yake) kwa kukosa pesa ya kuweza kununua Yamaha au Suzuki mchina ameweza kutengeneza vitu ambavyo ni affordable na kukusaidia wewe hapo ambaye hauna disposable income sio kutokana na kwamba nchi yako haiwezi kutengeneza pikipiki hizo bali kuchukua pesa zako zote na kutokukuachia disposable income ya mahitaji; Kwahio badala ya kumlaumu mchina ambaye ameleta maviatu ya bei za kutupwa ili usitembee peku laumu Serikali yako na Matozo yake...haya leo hii hata huyo mchina pia anatufanyia yale yale tunaolaumu wakoloni kutufanyia, wachina wanabeba rasimali wanapeleka kwao wanatujazia bajaji na pikipiki kila mahali, tumegeuka soko la china, madeni kila mahali kwa mchina ...
Arudi kwao Somalia akaongee hivyo anavyoongea sasa aone.Point ya msingi hapa ni hilo la kuzaliwa Somalia labda ndiyo inayoweza kumnyima uhalali na ujasiri wa kumvimbia Trump na Marekani yake
Lakini suala la kutoka nchi ya hovyo, yenye serikali isiyoeleweka, vita na njaa sidhani kama ni hoja ya msingi kwasababu wapo wengi waliotoka kwingineko na kuingia USA kwasababu ni nchi kubwa iliyoendelea zamani na yenye maisha mazuri
Hivi hata unajua Historia ya Levis Jeans ?!!!leo hii hypothetically ukienda kwa muhadzabe au msandawe huko porini ukamuonyesha a pair of levis jeans na kanzu ya arabs ukamwambia achague nguo ya kuvaa unafikiri hatochagua levi jeans? ...
Kwahio unadhani dunia imeanza jana sababu wewe umezaliwa leo ?!! Unajua kwamba happenstances ya jana ni causative ya kitu kitakachotokea kesho ?
Unajua hatua waliyokuwa wamepiga China kabla ya Opium wars; unajua hatua waliyokuwa wamepiga Ulaya kabla ya Vita vya Dunia na advatange aliyopata USA kwa kutokuwemo kwenye vita hivyo moja kwa moja na baada ya hapo makubaliano ya Bretton Woods
Niambia ni Invention gani iliyogunduliwa miaka ya hivi karibuni 21st Century zaidi ya kurudia zile zile theories labda na sasa uwezo wa materials na ku-perfect yaliyokwisha fanywa na fore fathers; la vyuo ndio yale yale marketability mtu akisema amesoma Havard akirudi nchini kwao anaonekana mtu wa maana zaidi na sio Havard tu hata Cambridge, Oxford n.k. (hilo ni pamoja mizizi ya colonial mentality) as well as hivyo Vyuo kuweza kujimarket; By the way tukitaka kuongelea Elimu hivi unajua hata University ya Kwanza ilikuwa wapi ?
Unajifunza nini au unadhani huko kwenye Vyuo wanafundisha kupaa na ungo kwamba ukiwa Bongo ni mjinga ukirudi unaweza kubadilisha maji kuwa asali ? If anything tunahitaji emancipation from mental slavely kwa wewe kudhani kwamba ukienda nje kujifunza ndio utaelimika kupambana na mazingira yako no wonder economically kwa hizi karne za karibuni utaendelea kuwa second best...
Mchina ni industry of the world hizo pikipiki zisingekuja huenda ungetembelea Swala (sababu hata Phoenix ni yake) kwa kukosa pesa ya kuweza kununua Yamaha au Suzuki mchina ameweza kutengeneza vitu ambavyo ni affordable na kukusaidia wewe hapo ambaye hauna disposable income sio kutokana na kwamba nchi yako haiwezi kutengeneza pikipiki hizo bali kuchukua pesa zako zote na kutokukuachia disposable income ya mahitaji; Kwahio badala ya kumlaumu mchina ambaye ameleta maviatu ya bei za kutupwa ili usitembee peku laumu Serikali yako na Matozo yake...
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Kichwa pumbu wewe umetoka nchi yenye serikali lakini huko miaka yote unaosha vizeeD.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko USA ...
View attachment 3475925
View: https://x.com/nicksortor/status/1968783538733363598?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1968783538733363598%7Ctwgr%5E0137d77591b0b04e7a3d459045e552edc9d0e46c%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fpolitical%2Ftrump-says-far-left-scum-ilhan-omar-should-be-impeached-claims-she-married-her-brother
Kichwa pumbu wewe umetoka nchi yenye serikali lakini huko miaka yote unaosha vizee
Yeye katoka nchi mbovu leo hii ni Congress Rep, huoni aibu mpaka leo unaosha vizee
Hujaleta habarihey vp uko sawa lkn? mbona unanishambulia nimeleta habari tu kama ilivyo ...