Hujaleta habari
Umeleta ushabiki na unaonyesha wazi uko biased....
Kabla kutetea upumbau wa huyo kichwa pumbu mwenzako ambaye mpaka alikuwa anang'ang;ania Obama sio US citizen, na alishindwa pabovu na conspiracy zake za kipumbavu
Kama hukutaka kushambuliwa, ulitakiwa ulete evidence ya kuwa huyu dada aliolewa na kaka yake sio unatalalila na kushabikia maneno ya huyo kichwa pumbu
Kwa hiyo unaleta udaku humu ?evidence nilete mimi`tena? heh ...
Kwa hiyo unaleta udaku humu ?
Na unajua hii sio ishu ya leo kwa vile huyo kichwa pumbu trump kaisema ndio leo imekuwa skendo wakati huu upupu upo tokea 2020,
Na bado alirudi kugombea 2024 na akashinda tena , halafu vichwa pumbu wenzako humu mnashabikia uzwazwa wakati wote mnaosha mavi ya vizee huko,
Mnatia aibu watanzania huko mnaishi kama panya, halafu mnakuja kumuongelea mtu ambayo Congress Rep,
Everything we know about the persistent but unproven rumors that Rep. Ilhan Omar married her brother
No hard evidence has ever surfaced to prove that Omar's ex-husband Ahmed Nur Said Elmi is her brother or that any immigration fraud was committed.www.businessinsider.com
Truth siyo chuki ...wewe mbona unamchukia nguruwe asiye kukosea chochoteUna chuki isiyokusaidia
There you go....mbona kama umeumia sana, do you have a dog in the fight? ...
Wakati anaonewa na Democrats ulisema chochote?Urais wa babu Trump ni VITUKO! VISASI, MIKWARA, KUJISIFU, UDIKTETA, UONEVU....
Haya anawawinda waandish wa habari wote wanaomkosoa, MJALUO OBAMA, MAMDANI, BIDEN nk nk nk!
Ghafla siasa za USA zawa kama za banana republic!
Wewe mgeni jaribu kuhamia Somalia halafu uanze kuongea mbovu uone kitachokutokea 🤣.Wageni wawage na kiasi, huko Uingereza kila Saturday utaona huko CNN watu na mabango ya stop genocide in gaza, sasa huyu lady nae kusherehekea kifo cha mtu for whatever reasons ni aina fulani ya tabia mbovu na lack of awareness 😑
Nguruwe ni KharamTruth siyo chuki ...wewe mbona unamchukia nguruwe asiye kukosea chochote
Nakupa ushauri wa bure penda kujifunza na kuangalia na kutafuta habari na sio kujifungia kwenye mawazo yako na hivyo kuendelea kubaki na kuongezea unayojua kwa upande wako; pia kama unapenda kuangalia vitu online kumbuka Youtube na Social Media nyingi zinakusoma unapenda vitu gani hivyo vinakutengea unavyopenda usipokuwa makini utapata one side of the story...hao akina carnegie ni watu gani? si ni wazungu au walikuwa ni chinese ? isitoshe hiyo freedom unayoingelea kwa nini iwepo USA tu na labda Europe (western) na siyo kwingineko?
Again unaangalia historia na kui-define kwa kuangalia episode moja au kudhani Historia ni destination na sio journey (muendelezo) hivi unadhani mtu aliyekuwepo kipindi cha Mansa Mussa au Benin; Songhai Empires ungeweza kumwambia nini kipindi hicho au kipindi Morrocco wanawavamia mpaka Spain; Au kipindi Ulaya kuna Roman empire inayowasubjugate wengine na wanaowazunguka ni Barbarians ?kwa nini china hakuna hiyo freedom, kwa nini siyo afrika kwetu, arab, brazil, chile, mexico au hata russia au hata sijui argentina? kwa nini ni USA na western europe tu ndiyo kuna hyo freedom ambayo unasema watu wanaitafuta?
Mfumo wao upi and at what time ? Na mfumo wa sasa unajua umetokea wapi na wapi na kuwa interconnected vipi; Maisha sio black or white ni very complex na interconnected ; na imepitia utofauti mkubwa sana unaweza kusema French Revolution ilisaidia sana kuwaondoa Aristocracy lakini pia kuna sehemu kama Haiti ambapo watumwa pia walifanya revolult...kwa sababu jibu la hilo swali ni muhimu kuelewa kwa nini wazungu wa west rules the world na kwa nini mfumo wao wa maisha ni attractive kwa kila binadamu wa dunia hii.
Nakupa ushauri wa bure penda kujifunza na kuangalia na kutafuta habari na sio kujifungia kwenye mawazo yako na hivyo kuendelea kubaki na kuongezea unayojua kwa upande wako; pia kama unapenda kuangalia vitu online kumbuka Youtube na Social Media nyingi zinakusoma unapenda vitu gani hivyo vinakutengea unavyopenda usipokuwa makini utapata one side of the story...
Historia ni kama Episodes na kila Episode kuna mabadiliko aliyepo juu leo, sio atakayekuwepo kesho n.k.; Baada / Wakati wa Vita vya Pili vya Dunia Europe na Mkandamizo wa Nazi watu walitafuta pa kukimbilia Best minds na watu wengi sana sehemu moja ya kukimbilia ilikuwa USA; na ilijijengea Sifa na Brand kwamba ni land of the free na mtu akifanya kazi basi atafaidika na analofanya (The American Dream) au Stars wengi actors waliaminishwa kwamba ukienda Hollywood basi ndio where it is at na utakuwa Star (ingawa wengine waliishia kuwa Prostitutes) Pia vitu kama Gold Rush n.k. wengi walikimbilia huko..., Ni kama kuna wakati Paris ilikuwa the Centre of Arts au Ghana (Sababu ya Kawme) na later UDM - Dar ilikuwa Centre ya minds wanaopigania Ukombozi wa Africa; Kumbuka kuna kipindi watu weusi walikuwa wanakuwa lynched USA; watu weusi walikuwa hawapati same opportunities;
Watu kama kina Marcus Garvey (Mweusi) walipigia usawa; sehemu kama Ethiopia waliitumia Rastarfarians mpaka huko Carribian kwamba ndio nyumbani walipotoka na Haille Sallasie ndio Messiah; kama wewe ulivyoaminisha na kuwa indoctrinated kwamba ni Jesus au yoyote mwingine yule; Rastafarians Jamaica walikuwa inspired kuweka Dreadlocks kutokana na Struggle ya Maumau from Kenya...
Kumbuka kuna kipindi cha Ufalme, Nobilities na Aristocracy kipindi hicho wewe ukizaliwa katika familia fulani hio ndio class yako wala usingeweza kutoka hapo ulipo (sasa ikaja sehemu kama USA ambapo kwa kipindi hicho kuna uwezekano wa A migrant au a son of migrant kuweza kuwa tajiri) hili jambo lilivutia wengi sana; it is a perfect Idea katika Pursue of Happiness - Na hilo ndio analolipigania huyu sababu sasa hivi sio tu kwamba ile dream (be it true or false) inaendelea kuwa ndoto bali Trump anataka kuibadilisha na kuifanya iwe Nightmare kwa kuiondoa kabisa...
Again unaangalia historia na kui-define kwa kuangalia episode moja au kudhani Historia ni destination na sio journey (muendelezo) hivi unadhani mtu aliyekuwepo kipindi cha Mansa Mussa au Benin; Songhai Empires ungeweza kumwambia nini kipindi hicho au kipindi Morrocco wanawavamia mpaka Spain; Au kipindi Ulaya kuna Roman empire inayowasubjugate wengine na wanaowazunguka ni Barbarians ?
Mfumo wao upi and at what time ? Na mfumo wa sasa unajua umetokea wapi na wapi na kuwa interconnected vipi; Maisha sio black or white ni very complex na interconnected ; na imepitia utofauti mkubwa sana unaweza kusema French Revolution ilisaidia sana kuwaondoa Aristocracy lakini pia kuna sehemu kama Haiti ambapo watumwa pia walifanya revolult...
If anything developed countries wanaendelea kuwa-rule watu kama nyie kutokana na kwamba hamjawa emancipated na mental slavely; Mwisho kabisa takupa sababu kwanini sehemu nyingi wahamiaji / migrants they perform better...; Sababu kumbuka hadi mtu atoke huko alipo kwenda pengine kutafuta maisha mtu huyu ni hard working, hakati tamaa na ana something to prove; hivyo wakati wazawa wamelala na kutembea yeye anakimbia
Aisee kwahio pia hakuna kitu unaweza kujifunza UDSM n.k. ? Nimekupa sababu moja kuu ya USA hususan wakati wa Vita vya Dunia Great Minds walikwenda huko; kwahio ni mkusanyiko wa Great Minds na vyuo kupewa Funds za kutosha na Makampuni kuwatoa katika Research and Development (It is a marriage made in Heaven) ila ukiangalia all the Core Ideas hata ukija kwenye Information Age zilishafanywa na kina Shannon, Turin among many others (Seen Further by Standing on the Shoulder of the Giants) jambo ambalo anataka kuliharibu huyu mtu...; Na kama unaongela University nimekwambia the Oldest University ipo Morrocco; Ila that is neither here nor there...; Great minds zitakwenda where they are welcomed ili kufanya wanachotaka kufanya ukiwawekea figisu watatafute pengine na it is your loss....sitenganishi Ulaya na USA wote ni western world isitoshe una overisimplify sana mambo, kwamba hakuna kitu unaweza kujifunza vyuoni kama mit, caltech au stanford? really? silicon valley yote ni producct ya hivyo vyuo
Nimekuuliza dunia ya sasa kuna chochote kipya cha kujifunza huko MIT kazi walishamaliza kina Shannon n.k, kwahio cha muhimu kuliko vyote hizo Universities zinapata funds za kutosha kwahio unakuta dunia nzima wanashare katika kuboresha reasearches tofauti; USA kuna mpaka Einstein VISA (ambayo ajabu ndio alitumia Mke wake Trump kwenda USA); ingawa hii iliwekwa kwa ajili ya kuvutia great minds; Jambo ambalo hata nyie mgekuwa bado hamna chains kwenye Minds zenu mgeweza kuiuza nchi yenu na cha kujivunia sio kuendelea kutukuza Wazunguhalafu wewe unasema hakuna cha kujifunza? it companies kubwa yote zimetokana na hivyo vyuo hafafu unasema hakuna cha kujifunza? are you a communist agent ? ...
Aisee kwahio pia hakuna kitu unaweza kujifunza UDSM n.k. ? Nimekupa sababu moja kuu ya USA hususan wakati wa Vita vya Dunia Great Minds walikwenda huko; kwahio ni mkusanyiko wa Great Minds na vyuo kupewa Funds za kutosha na Makampuni kuwatoa katika Research and Development (It is a marriage made in Heaven) ila ukiangalia all the Core Ideas hata ukija kwenye Information Age zilishafanywa na kina Shannon, Turin among many others (Seen Further by Standing on the Shoulder of the Giants) jambo ambalo anataka kuliharibu huyu mtu...; Na kama unaongela University nimekwambia the Oldest University ipo Morrocco; Ila that is neither here nor there...; Great minds zitakwenda where they are welcomed ili kufanya wanachotaka kufanya ukiwawekea figisu watatafute pengine na it is your loss....
Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii
Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...www.jamiiforums.com
Moja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist (Global Citizen) ninaamini mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;na kwa nini hamuwataki waarabu waondoke afrika (north afrika) warudi kwao arabian desert?
Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)waarabu hapa afrika siyo kwao pia kama vile mnavyosema wazungu north amerika siyo kwao, walivamia (arabs) north afrika na kufukuza na kuuwa natives kuanzia misri, tunisia, moroko mpaka algeria na sudani wilivamiwa na waarabu kutoka arabian desert bara asia, arabs are not afrikans na afrika siyo kwao pia ...
Kwahio unadhani Christianity ndio ilianza before Civilization ? au hio University ilikuwa Kanisa ?; Sitaki kwenda huko sababu ni kupotea kwenye Imani ambapo unaweza kupoteza upeo lakini kwa sentensi yako umejifunga own goal....but moroko was Christian kabla ya islam invasion ..
Wageni wengi Ulaya na US wanafurahia uhuru wa kuzungumza ambao nchi zao hakuna, ila bado wanakandia umagharibi.Huyo Msomali kwa nini asirudi kwao Somalia akaifanye Somalia iwe nchi bora?
Hayo anayoyasema akiwa Marekani huko Somalia hatathubutu kuyasema.
Ungrateful Woman.
Moja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;
Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)