Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.
Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?