milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Masayuni alistahili kwenda kulima karafuu huko visiwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana bado atafanya vizur.kwanza prof anaipenda historia na malikale.bahat mbaya tu atakuta kuna confusion ya utamaduni na heritage per se. ila kwa kuwa wakil msom still anafaa hapo kwanza kuihabarisha jamii juu ya vitu mbalimbal na uhalali wake kisheria. pamepata mwenyewe hapo. by the way kwan yeye ndio mtendaj mkuu.?huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria. aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.
ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima. lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?????????????????????????????????????????????????????
Very very true. Kiongozi ni myu ambaye anafanya maamuzi magumu...ata ikibidi kuua mtu kwa manufaa ya wengisasa si amuondoshe tu kuna mamlaka ukifika hakuna tena aibu, penye kuondosha unaondosha tu
Masayuni alistahili kwenda kulima karafuu huko visiwani.
Mwamba huyu,ataenda kuleta maadili ya kizalendo ndani ya habari
Uwenda akawa kwa Muda,kuwanoa walio kuwepo.Aysee CCM inamipango kabambe sana...huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.
Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.
Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Moja ya Wizara za hovyo.huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.
Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Tunaenda kushuhudia ubunifu wake mkuu katika sera za habari kuleta uzalendo kwa wanahabariMoja ya Wizara za hovyo.
Umemaliza 🙏🙌Inachosha sana na ilitakiwa hizi nafasi za uwaziri zisingekuwa ni za kisiasa zingekuwa ajira rasmi watu wanaomba wanafanyiwa usaili kabisa
Lakini Sarungi alifiti sana kwenye nafasi hiyo. Kwanza utaalamu wake wa mifupa ilidhaniwa itasaidia kwenye michezo. Pili, Sarungi kwa tabia zake zile za kusema sema sana, kwenye mambo ya michezo na sanaa inakubalika sana. Tatu, Sarungi alikuwa ni Shabiki mkubwa wa Simba; kwa hiyo michezo halikuwa jambo geni kwake.Hii inanikumbusha Prof. Sarungi naye mtaalamu wa mifupa alishawahi teuliwa nafasi hiyo hiyo.
Nakubaliana nawe, lakini hebu kwanza angalia ujuha unao fanyika: pamoja na kuwa na uzoefu wa kushika nyadhifa za uwaziri kwa muda mrefu, na kuwa mtaalam wa mambo ya sheria; katika muda huo mfupi wateuzi wake kweli wameweza kufanya tathmini ya mambo aliyo weza kufanya na aliyo shindwa kuyafanya na kuamua kuwa hafai kwenye nafasi hiyo?Mimi naona ni sahihi tu aende akapambane na hali yake. Maana huo usomi wake nguli sidhani kama una tija kwa nchi.
Nilitegemea akiwa kama Msomi nguli, kuhakikisha nchi inakuwa na sheria na Katiba yenye kulinda maslahi na wananchi walio wengi! Badala ya watawala.