Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.

Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.

Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Lengo ni kuwapandisha hadhi wanamichezo wa bunge waliokuwa wakienda Mombasa kwenye mazoezi.
 
Si ndiye huyu aliwahi kumuita Jiwe mungu 🤔
Pia alileta dawa ya corona kutoka Madagascar 😂😂😂😂
 
Lakini Sarungi alifiti sana kwenye nafasi hiyo. Kwanza utaalamu wake wa mifupa ilidhaniwa itasaidia kwenye michezo. Pili, Sarungi kwa tabia zake zile za kusema sema sana, kwenye mambo ya michezo na sanaa inakubalika sana. Tatu, Sarungi alikuwa ni Shabiki mkubwa wa Simba; kwa hiyo michezo halikuwa jambo geni kwake.
Sasa huyu Kabuti; Michezo, Sanaa, Utamaduni...; wapi na wapi?
Kwenye usanii sawa, maana aliwahi kuleta dawa ya corona kutoka Madagascar
 
hapana bado atafanya vizur.kwanza prof anaipenda historia na malikale.bahat mbaya tu atakuta kuna confusion ya utamaduni na heritage per se. ila kwa kuwa wakil msom still anafaa hapo kwanza kuihabarisha jamii juu ya vitu mbalimbal na uhalali wake kisheria. pamepata mwenyewe hapo. by the way kwan yeye ndio mtendaj mkuu.?
Uwezo wa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi hauna mfano.
Tanzania na Dunia itashangaa jinsi Profesa huyu, Nguli wa Sheria alivyo na uwezo mkubwa sana katika Wizara hii aliyoteuliwa.
Tunaomfahamu hatushangai.
 
Basi tuache kitabu; machapisho ya kitaaluma je?

Hata hayo achana nayo: ulisha soma makala yoyote katika magazeti yetu hapa nchini toka kwa nguri huyu wa sheria? Ninge furahi sana kuyaona makala hayo.

Siku hizi tunao ma-profesa wa kila aina hapa nchini, lakini hata kuwasoma magazetini tu hawapo kabisa.
Hili ni tatizo linalo hitaji kuanza kupigiwa kelele. Hawa watu (wasomi) wana wajibu kwa wananchi wenzao!

Nilikuwa namsoma marehemu Ngowi tu wa IFM; wengi naona majina tu na 'title' za Profesa, sijui wana-profesi kitu gani hawa!
Nadhani walipeana kisela. Japo jamaa kichwani zimo ila mara nyingi ukisema mtu ni prof lazima awe na kitabu kinachomtambulisha. Mfano Shivji ana vitabu chungu mzima.
 
Back
Top Bottom