Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

Binafsi natamani sana wale jamaa wa Barrick alio kuwa akijadili nao maswala ya miradi yao wange kuwa wana fuatilia jamaa anavyo tumikia nchi yake kwa heshima kubwa!

Naikumbuka ile picha, alipo kwenda kuwapokea uwanja wa ndege hao jamaa. Kimuonekano, ilipendeza sana kumwona mzalendo wetu kwenye picha ile, akijiandaa kuipigania nchi yake. Na sina shaka, kimwonekano hata wao waliona kuwa Tanzania kuna watu wa kujadili nao jambo. Sasa sijui huko kwenye majadiliano yenyewe ilikuwaje; lakini yeye mwenyewe (Kabuti), alisema alitukanwa na mkuu wake wa kazi kuwa ni "Mpumbavu"; pamoja na kuwa na umri mkubwa kuzidi huyo Boss.
 
basi kweli alikuwa mpumbavu................. huyu naye anamtukana kiaina
 
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.

Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.

Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Yule aloyeshindwa na wazungu wa makanikia ndo msomi nguli et! Akawa anatunganya tu eti kila mtu atapata noah huku akijua kwamba ni uongo.
 
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.

Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.

Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Wizara za kina Nape, Mwana Fa na Babu Tale
 
Una mfano wa mtu yeyote aliyeteuliwa kwa nafasi fulani akaona haimfai akakataa? Kwenye Awamu ya Kwanza ya Rais Donald Trump alimteua Neurosurgeonist (Daktari Bingwa wa mambo ya neurons) Dk. Ben Carson kuwa Waziri wa Makazi na hakuktaa. Wewe hao waliokataa ni akina nani?
 
Nakubaliana nawe, lakini hebu kwanza angalia ujuha unao fanyika: pamoja na kuwa na uzoefu wa kushika nyadhifa za uwaziri kwa muda mrefu, na kuwa mtaalam wa mambo ya sheria; katika muda huo mfupi wateuzi wake kweli wameweza kufanya tathmini ya mambo aliyo weza kufanya na aliyo shindwa kuyafanya na kuamua kuwa hafai kwenye nafasi hiyo?
Hawa watu wana teuliwa, hata kabla hawajatulia kwenye nafasi mpya walizo teuliwa, hapo hapo wana tibuliwa na kupelekwa eneo jingine wakaanze upya!
Nani hufanya kazi namna hii halafu upate mafanikio.

Jambo la kujiuliza ni kama wateuliwa hawa hupewa na kuelezwa malengo wanayo takiwa kuyafikia katika muda maalum wa kazi zao (Performance Indicators). Je, huyu Kabuti kashindwa kufikia malengo aliyo pangiwa katika muda mfupi huo, au kuteuliwa ni basi tu kujaza nafasi wizarani?
Na ndiyo maana wananchi walipiga kelele Rais apunguziwe madaraka, yakiwemo haya ya uteuzi.
 
hauondoshwi kwa sababu ya utendaji mbovu bali afrika unaondoshwa kwa sababu umekuwa tishio au umepishana na mkubwa wako. Kama utendaji wako mbovu unalalamikiwa utatafutiwa wizara ambayo haina lawama nyingi kama habari na michezo, au mambo ya nje, au mazingira uendelee kula mema ya nchi.
Akatae Vx , wanasiasa wa kiafrika ni maslahi mbele heshima baadaye , ila vyeo vingine vinadhalisha kweli kulingana na elimu na professional ya mtu.
 
Marekani huwezi kuta watu wasomi serious kwenye siasa!

Siasa ni za wajanja wajanja kama Trump!
Hii Ndio elimu ya Donald Trump
1. High School: Trump attended the New York Military Academy in Cornwall, New York, from eighth grade through high school. He graduated in 1964.

2. College:

Trump initially enrolled at Fordham University in the Bronx, New York, in 1964.

After two years, he transferred to the Wharton School of the University of Pennsylvania, where he pursued studies in real estate and finance.

He graduated in 1968 with a Bachelor of Science in Economics.
 
Hahaha aandike vitabu? Umeshawahi kuona kitabu chake hata kimoja? Ukileta kitabu kimoja cha prof Kabudi nitakupa dola elf mbili.
 
Na ndiyo maana wananchi walipiga kelele Rais apunguziwe madaraka, yakiwemo haya ya uteuzi.
Wana yang'ang'ania hayo madaraka ya uteuzi kwa sababu ndiyo nyenzo ya kuwafanya miungu watu.
Hivi "machawa" wote hawa siku hizi wewe unadhani kinacho tafutwa zaidi ni nini kama siyo uteuzi wa huyo huyo mtu mmoja!
Mawaziri wenyewe wanakuwa kama wenda wazimu, kwa kumsifu mteuzi kana kwamba wao ni mali yake!
 
Marekani huwezi kuta watu wasomi serious kwenye siasa!

Siasa ni za wajanja wajanja kama Trump!

Unajua elimu ya Obama, Kamala, the Clinton's etc? Wabongo mnapenda sana kuropoka.
 
Hapo tatizo ni nyie mnadharau wizara na kazi za watu Hapo hapo mnataka usanii na michezo itambulike na iwe ajira rasmi. Mitanganyika bana
 
Hahaha aandike vitabu? Umeshawahi kuona kitabu chake hata kimoja? Ukileta kitabu kimoja cha prof Kabudi nitakupa dola elf mbili.
Basi tuache kitabu; machapisho ya kitaaluma je?

Hata hayo achana nayo: ulisha soma makala yoyote katika magazeti yetu hapa nchini toka kwa nguri huyu wa sheria? Ninge furahi sana kuyaona makala hayo.

Siku hizi tunao ma-profesa wa kila aina hapa nchini, lakini hata kuwasoma magazetini tu hawapo kabisa.
Hili ni tatizo linalo hitaji kuanza kupigiwa kelele. Hawa watu (wasomi) wana wajibu kwa wananchi wenzao!

Nilikuwa namsoma marehemu Ngowi tu wa IFM; wengi naona majina tu na 'title' za Profesa, sijui wana-profesi kitu gani hawa!
 
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.

Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.

Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Kuna mawili mosi ni la Katiba labda hakuwa njia moja na wengine
Pili anaelekea huko kusimamia uendeshaji wa michezo ambapo kuna upigaji mkubwa kuelekea afcon na taasisi zilizo chini yake
 
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.

Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye kuingia mikataba ya akili. anaenda kushiriki Tamaduni, kufanya sanaa na michezo kwa mambo ya msingi.

Ataapishwa naye atashukuru. hapo ndo utachoka. angekuwa sehemu za watu wenye akili angeshukuru na kusema "Mheshimiwa Rais nashukuru kwa kuniheshimisha hivyo lakini kwa kweli kutokana na kasi yako na utendaji wako uliotukuka naona kama sitaweza ku perform kwa kiwango kile kinachopaswa." angekataa kwa heshima.

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Lakini kwa kuwa huku nchi za kwetu hatutumii akili atafurahi huyu msomi nguli wa sheria. anaenda kwenye Wizara ambayo angeongoza mtu ambaye amesoma Physical Education au Fine and Performing Art. au tu mwenye Degree ya Social Science. sasa aaneda huyu kukaa Wizara hiyo?
Kiukweli hata mimi nilipopata habari hii nimeona huyu professor hajatendewa haki kupewa wizara ya michezo na utamaduni.
Wizara hiyo mwana FA anatosha akitafutiwa kilaza mwingine wa kusaidiana nae lakini siyo mwanazuoni mkubwa kama kabudi!.
 
Back
Top Bottom