Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

Lengo ni kuwapandisha hadhi wanamichezo wa bunge waliokuwa wakienda Mombasa kwenye mazoezi.
 
Si ndiye huyu aliwahi kumuita Jiwe mungu πŸ€”
Pia alileta dawa ya corona kutoka Madagascar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye usanii sawa, maana aliwahi kuleta dawa ya corona kutoka Madagascar
 
Uwezo wa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi hauna mfano.
Tanzania na Dunia itashangaa jinsi Profesa huyu, Nguli wa Sheria alivyo na uwezo mkubwa sana katika Wizara hii aliyoteuliwa.
Tunaomfahamu hatushangai.
 
Nadhani walipeana kisela. Japo jamaa kichwani zimo ila mara nyingi ukisema mtu ni prof lazima awe na kitabu kinachomtambulisha. Mfano Shivji ana vitabu chungu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…