Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,231
- 1,189
Engineers?....huyo aliyekutengenezea hiyo sim au pc unayoitumia vibaya.Duniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engineers?....huyo aliyekutengenezea hiyo sim au pc unayoitumia vibaya.Duniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Wewe upo upande gani kwanije Watanzania ni wasomi au wana elimu....?
Unasema??Engineers?....huyo aliyekutengenezea hiyo sim au pc unayoitumia vibaya.
Ww utakua msomi tu lazima!! Ur very right na wasomi tanzania ni wachache kulinganisha na wenye elimu!! Unakutana na mtu ana degree but you won't believe your eye's unaweza tamani umshike umtingishe ujinga umtoke ni wengi mpk aibuMsomi anauwezo wa kuchanganua mambo kwa kina hata kama ameishia form 4 but mwenye elimu anaweza akawa amefika level ya juu but hawezi kureason
Habar wapendwa, nimekuwa nikijiuliza sana niipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu maana unakuja kuta mtu amesoma ila elimu hana na mwengine anaelimu lakini hajasoma je tofauti uko wapi? ???????
Kitendo ni SOMA, neno ambalo linazaa msomi, msomaji, somo, nk, kama ulivyosema, makaratasi mengi, vyeti, nk. Kwa upande mwingine mwenye elimu ana ujuzi, maarifa ya jambo fulani. Haya lete virungu!Msomi ana makaratasi mengi sana. Cheti cha la saba, cha form four, cha form six, cha degree, etc. na mara nyingi haya makaratasi hayamsaidii sana.
Ila mwenye elimu wala hana mbwembwe hizo na anaitumia elimu yake zaidi ya makaratasi
Habar wapendwa, nimekuwa nikijiuliza sana niipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu maana unakuja kuta mtu amesoma ila elimu hana na mwengine anaelimu lakini hajasoma je tofauti uko wapi? ???????
Mkuu tuko pamoja. Ulichokisema na mimi ndo nilichokimaanishaKitendo ni SOMA, neno ambalo linazaa msomi, msomaji, somo, nk, kama ulivyosema, makaratasi mengi, vyeti, nk. Kwa upande mwingine mwenye elimu ana ujuzi, maarifa ya jambo fulani. Haya lete virungu!
Wasomi issue zao ni kutumikishwa Kazi kwa ufasaha na Matajiri,Serikali,Wavumbuzi,Dini n.k ila wasomi wengi wamekuwa wakiibia mitihani hivyo elimu imedharaulika kwa kuzaliza wababaishaji karibu wote...kuwapatia waambie uhakiki tena unarudia mitihani tena iliyokufaulisha...Duniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Mkuu soma sheria, dhamana unaomba mda wowote kama kosa Lina dhamana, ukinyimwa polisi unaenda kuomba mahakamani, mahakama ya chini ikikunyima dhamana inakua kesi hiyo unaikatia rufaa. Dhamana ni haki ya kikatiba mkuu.Ona sasa, wee unadhani dhamana unaamua tu muda wowote, unapewa siku zikipita na haujafanya hivyo imekula kwako kama ilivyokula kwa mawakili wasomi.
ExactlyMawakili ndo wasomi wengine wana elimu hata uwe profesa wa elimu, hatukuiti msomi lakini wakili ni msomi.