Msomi ni nani

Msomi ni nani

Majibu yapo kwa happiest man, na yello masai .. To me nothing to add
 
Msomi anauwezo wa kuchanganua mambo kwa kina hata kama ameishia form 4 but mwenye elimu anaweza akawa amefika level ya juu but hawezi kureason
Ww utakua msomi tu lazima!! Ur very right na wasomi tanzania ni wachache kulinganisha na wenye elimu!! Unakutana na mtu ana degree but you won't believe your eye's unaweza tamani umshike umtingishe ujinga umtoke ni wengi mpk aibu
 
Mtu Msomi Ni yule anaejua kila kitu katika kitu Na
Mtu Mwenye Elimu ni yule Anaejua kitu katika kila kitu.

Elimu=Ni Taarifa hivyo Ni vyema ukawa na Taarifa za kutosha na za uhakika kukuwezesha kukabiliana na mazingira.
 
Msomi ni mtu aliebobea katika eneo lake, ambaye anaweza akatatua matatizo katika eneo ambalo amebobea, msomi anabebwa na uwezo wa kuelewa eneo lake, kuleta majibu ya matatizo yaliyopo katika eneo hilo kwa utafiti yakinifu wa kina na unaolenga kumaliza matatizo katika eneo hilo.Wasomi hujibu hoja kwa utafiti.
Kuelimika ni dhana pana, ni kupata ufahamu juu ya jambo fulani, si lazima jambo hilo liwe linahitaji kukaa darasani.
 
Madoki,
Ona sasa, wee unadhani dhamana unaamua tu muda wowote, unapewa siku zikipita na haujafanya hivyo imekula kwako kama ilivyokula kwa mawakili wasomi.
 
Bora uwe na elimu kuliko msomi... Hata biblia inasema itafute sana elimu isije ukaiacha iende zake... Ukielimika unapata kuwa huru sana wakutambua mambo mengi...
 
Habar wapendwa, nimekuwa nikijiuliza sana niipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu maana unakuja kuta mtu amesoma ila elimu hana na mwengine anaelimu lakini hajasoma je tofauti uko wapi? ???????

Kwani maana halisi ya hayo maneno ni ipi?
 
Msomi ni mtu yeyote anaejua kusoma...na mtu mwenye elimu ni mtu alie elimika kwa kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Msomi ana makaratasi mengi sana. Cheti cha la saba, cha form four, cha form six, cha degree, etc. na mara nyingi haya makaratasi hayamsaidii sana.
Ila mwenye elimu wala hana mbwembwe hizo na anaitumia elimu yake zaidi ya makaratasi
Kitendo ni SOMA, neno ambalo linazaa msomi, msomaji, somo, nk, kama ulivyosema, makaratasi mengi, vyeti, nk. Kwa upande mwingine mwenye elimu ana ujuzi, maarifa ya jambo fulani. Haya lete virungu!
 
Habar wapendwa, nimekuwa nikijiuliza sana niipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu maana unakuja kuta mtu amesoma ila elimu hana na mwengine anaelimu lakini hajasoma je tofauti uko wapi? ???????
a0ca074bb8b22155ad69bf9427f18dab.jpg
 
Tuliambiwaga enzi za mwalimu elimu ni ile inayobaki baada ya kumaliza kusoma. Ikiwa na maana kutumia kiasi cha ulichosoma katika maisha ya kila siku. Kinyume chake kama huwezi kutumia masomo uliyosoma kwenye maisha ya kila siku huna elimu yo yote kwa maana hujasoma. Pia ina maana anayemudu maisha ya kila siku ana elimu.
 
Kitendo ni SOMA, neno ambalo linazaa msomi, msomaji, somo, nk, kama ulivyosema, makaratasi mengi, vyeti, nk. Kwa upande mwingine mwenye elimu ana ujuzi, maarifa ya jambo fulani. Haya lete virungu!
Mkuu tuko pamoja. Ulichokisema na mimi ndo nilichokimaanisha
 
Duniani kuna wasomi 3 tu

Lawyers
Doctors
Economist
Wasomi issue zao ni kutumikishwa Kazi kwa ufasaha na Matajiri,Serikali,Wavumbuzi,Dini n.k ila wasomi wengi wamekuwa wakiibia mitihani hivyo elimu imedharaulika kwa kuzaliza wababaishaji karibu wote...kuwapatia waambie uhakiki tena unarudia mitihani tena iliyokufaulisha...
 
Ona sasa, wee unadhani dhamana unaamua tu muda wowote, unapewa siku zikipita na haujafanya hivyo imekula kwako kama ilivyokula kwa mawakili wasomi.
Mkuu soma sheria, dhamana unaomba mda wowote kama kosa Lina dhamana, ukinyimwa polisi unaenda kuomba mahakamani, mahakama ya chini ikikunyima dhamana inakua kesi hiyo unaikatia rufaa. Dhamana ni haki ya kikatiba mkuu.
 
Kila binadamu ana elimu ili mradi na kama ataitumia vizuri hata hao wanajiita wasomi watafoleni! usomi ni hii elimu tuliyoletewa na hawa watu ili kuboresha elimu tuliyo nayo tuweze kutawala mazingira kwa wanavyotaka wao....Sijasikia mtu amekufa kwa vile ni kichaa,Ila nimewahi sikia wasomi wengi wamejinyonga.
 
Back
Top Bottom