ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 772
- 538
Una maana ganiDuniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana ganiDuniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Atakaye taka ufafanuzi juu ya hizo kauli mbili nitampa tena kwa mifano yakinifu."Si kila mwenye elimu ni msomi lakini kila msomi ni mwenye elimu" na "Elimu haina mwenyewe ila ina watu wake"
Wana ubishiVyote hawana.
mkuu umeondoa utataMsomi ni mtu aliyepitia mfumo wa formal education na kufikia kiwango fulani cha elimu,lkn mtu mwenye elimu yuko free either elimu yake kaipata kupitia formal education or informal education.....there fore neno msomi liko ndani ya mwenye elimu...
EngineersDuniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist
Una maana gani mkuu hapo nifafanulie kama sijakuelewa vizuri hivi? ??Duniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist