Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Kwa ujumla wake inaonekana Msonde ana nia njema ya kuboresha utendaji.

Sema nyie mnataka kuleta “resistance to changes”

Inawapasa ku-adapt changes badala ya hiyo resistance through complains mnazofanya.

Fanyeni kazi acheni excuses.
 
Dah ualimu Kaz ya kisenge [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Wanaliwa sana Hawa watu, alafu kisa Andalio .

Andalio waandae na tutafatilia ufundishaji pia!!.

Walizoea, wanaenda shulen kufundishaz bila Maandalio, wakifika ni stori tuuu

Sasa hapo wanataka Kujifanya eti, Muda mwingi watautumia kwenye kuandaa Maandalio alafu wasifundishe, Hawa washughulikiwe haswa.
 
Una hoja ila uandishi wako unayumba yumba, mfano nyums, mabadiriko, kiyfupi n.k.

Hahahaaa
 
Nakazia [emoji123]
 
haya mambo nu upuuzi tu kutokana na kutokuwa na nzuri ya kudumu. Elimu maana yake ni maendeleo. ila hapa bongo Elimu ni three R, kufaulu na kutafuta kazi. baada ya hapo ni kujigamba wewe ni Msoni.

😁😁😁😁😁😁😁
 
Duuh aiseh msonde anazid kuwadidimiza walimu na kuwatia tuu hasira, sasa walimu wakipanda hasira wanamalizia kwa watoto sasa hapo kuna kujenga kweli...!!??
#nchi Ngumu hii😂😂
 
Tatizo wanataka mgeuza mwalimu awe mungu Yani hata mtoto mwenye uelewa mdogo awe na uelewa mkubwa Yani mtoto wanapasisha kimagumashi uko akifika sekondari wanataka apate arama B somo la hesabu wakati ufauru wake uelewa wake magumashi

HUYU NDIO MWALIMU WANGU!!!

mgeuza-kumgeuza
mungu-Mungu
Yani-yani
uko-huko
arama-alama
ufauru-ufaulu

Huyu ni mwalimu, hahahahaaa
 
Walimu saiz wanaandika kuliko hata mwanafunzi, imagine mwalimu wa physics uko peke ako shule nzima na kwasiku vipindi vya F. 1 mpaka 4 ni kama nane hivi tena kila darasa lina mikondo sasa niambie huyu mwalimu anawezaje kuandika lesson plan nane kila siku, ila hawa ni robot halo yani yanaweza eti [emoji23]
 
Wanasiasa ilibidi watenganishwe na wanataaluma,,Kuchanganya siasa na taaluma Kuna athari kubwa Sana ,,,

Mkuu wa wilaya na mambo ya Taaluma wap na wap
Wanasiasa ilibidi watenganishwe na wanataaluma,,Kuchanganya siasa na taaluma Kuna athari kubwa Sana ,,,

Mkuu wa wilaya na mambo ya Taaluma wap na wap

,, ,,,
wap na wap-wapi na wapi
Herufi kubwa inawekwa wakati gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…