Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Huwepo wa hayo makaratasi siyo shida,muulize effects zake kwenye ufundishaji ni zipi?Huku ndo kukurupuka, uwa shida yenu ni akili samahani lakini if nimekukwaza, kwani tunashida na hizo ajira za mkataba? Mara ngapi tunaomba tuajiiriwe kimkataba? Tena hizi ajira za kufungana kwa welding haya anayataka nani?
Mm silalamiki nikuwa najaribu kutoa picha halisi na ugumu uliopo kutokana na sera na mawazo ya kijinga kwenye sekta ya Elimu kama hizo za msonde ok
Nahitaji niwe kwenye ajira ya mkataba ili nifanye mambo yangu vyema ok, mm siwezi lalamika ila viongozi wetu hawana akili kichwani full stop, mtu mzima msomi unafeli vipi kusaidia jamii??
Kwa utitili wa vipindi alivyo navyo Mwl afundishe huku anachungulia lesson plan?
Fedha inayotumika kuandaa hayo makaratasi kwa nini isitumike kujenga mahabara?
Kwa nini isitumike kuandaa wataalamu wa mahabara?
Kwa nini isitumike km motivation kwa Walimu.