Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Huwepo wa hayo makaratasi siyo shida,muulize effects zake kwenye ufundishaji ni zipi?

Kwa utitili wa vipindi alivyo navyo Mwl afundishe huku anachungulia lesson plan?

Fedha inayotumika kuandaa hayo makaratasi kwa nini isitumike kujenga mahabara?

Kwa nini isitumike kuandaa wataalamu wa mahabara?

Kwa nini isitumike km motivation kwa Walimu.
 
Huu ni ukichaa,
  1. Mwalimu atafaulishaje kama watoto hawapati lishe bora
  2. Wazazi hawatoi ushirikiano kwa walimu wanapowahitaji kujadili mienendo ya watoto wao
  3. Walimu wako frustrated huku mshahara mdogo, mara michango ya mwenge, madai yao hayafanyiwi kazi
  4. Hiyo mikatataba ndiyo huchangia wizi wa mitihani
  5. Walimu hawapati nafasi kutoa dukuduku na maoni yao namna bora ya kuboresha elimu
  6. Siku zote maamuzi ni top down, hakuna ushauri unapokelewa kutoka kwa walioko field
  7. Viongozi nendeni mashuleni mkaongee na walimu na wazazi badala ya kutumia taarifa za heads of schools
  8. Heads of schools wanawaficha baadhi ya taarifa ili kulinda nafasi zao
 
Binafsi naona Serikali ndiyo inalea ujinga na wajinga

Ni jukumu la Mzazi kuhakikisha mtoto wake anaingia Darasa la Kwanza akiwa anajua kusoma, Kuhesabu, Kuandika, kama hajui Shule isimchukue

Mtoto asiye na Elimu ni mzigo kwa wazazi wake

Serikali iwekeze kwa wanaotaka Kusoma



Serikali iache kuajiri walimu ambao walifeli Form Four
 
Haya ndiyo mambo ilitakiwa Chama cha Walimu kiwe kinayashughulikia, unfortunately chama kimetekwa na politicians..
 
KPI anakwambia walimu wafundshe kwa kutumiaa CIRA...

MSONDE
 
Sasa mashoga na wasagaji wanaingia vipi hapaa?? Wee mwalimu umevurugwaaaa???

Km ndo hivi acha Msonde awakazie tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh poleee Madame.
 
Wakuu wa shule umekosea uliposahau kuwaweka CWT (watafuta umaarufu wa kisiasa).
 
Kumbe wapo walimu waliofeli?

Au ndo wale inasemekana wanachukua masomo yooote isipokuwa hisabati,English na sayansi?
 
Tatizo wanataka mgeuza mwalimu awe mungu Yani hata mtoto mwenye uelewa mdogo awe na uelewa mkubwa Yani mtoto wanapasisha kimagumashi uko akifika sekondari wanataka apate arama B somo la hesabu wakati ufauru wake uelewa wake magumashi
Wanakwambia hakuna mtoto asie fundishika,wanasahau kwamba watoto wanatofautiana vipawa,wengine wanafaa kwa mambo mengine sio lazima akomae na masomo hayo

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Baraza liko SMART?
Yaani baraza kufaulisha wanafunzi ndo kuwa smart? Kuwaambia wasahihishaji (mpatie alalama,unasoma nini wakati alama siyo zako ni za baraza?) Umezingua sana mkuu.
Hakuna mahali nmesema liko smart.
Ila nmekwambia limepata mabadiriko makubwa baada ya kuingia Msonde.

Hayo uliyoyasema sidhani kama unaufahamu nayo vizuri,namini unaongea nje ya utaalamu,ungekua na utaalamu nayo usingesema kama ni udhaifu.

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…