Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
- Thread starter
- #21
Nimemuona Bukoba wenyewe wanamuita o'muraru.kithibitisho kiko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuona Bukoba wenyewe wanamuita o'muraru.kithibitisho kiko wapi?
Ni msaidie mtoa hii habari ni kweli kabisa na mmoja wao wa kwenye kundi amethibitisha hilo kwenye e news ya eatv ya kina samWe una huakika gani na hiyo story yako!!
Huyu babake si aliwaachia nyumba ya urith pale Namanga karbu na general taya
Kipindi kile wasanii wengi walikuwa wanapigwa sana kidogo wakina diamond na kiba wameamka mfano wakina domo kaya na mandojo kwa zile hitsong zao hawana hata cha maana.kuna maisha baada ya ustar kweli wajifunze kuwekeza....tupewe utaratibu tutachangia ila wajifunze
Kweli mkuu malipo duni yanaweza kuwa chanzo pia...Mungu amsaidie ila uwekezaji nje ya vipaji ni muhm mnoKipindi kile wasanii wengi walikuwa wanapigwa sana kidogo wakina diamond na kiba wameamka mfano wakina domo kaya na mandojo kwa zile hitsong zao hawana hata cha maana.
Bila picha ni upuuzi na unafiki mkubwa...
Ha ha haohooo yamekuwa hayo tena kwa kijana mwenzetu sasa namba ya kuchangiA iko poa
alaf story kama hizi bila picha ni sawa na simba bila moooo
Ni kweli kabisa na taarifa zimethibitushwa jamaa yupo katika hali ya uchizi tumuombeeni aiseeNAKUMBUKA ASHAWAH HOJIWA NA DULLA WA PLANET BONGO LAST YEAR AMEOKOKA NA ANA MTUMKIA MUNGU NA DULLAH ALIMWOMBA APIGE HATA CHORUS ALIKATAA NDO AKAIMBA KIDGO NYIMBO YAKE YA GOSPEL NASHANGAA NAVYOSIKIA KARANDUKA AU MTOA MADA UNATUTENGENEZA
Picha si vizuri inabidi tumsitiri kijana mwenzetuohooo yamekuwa hayo tena kwa kijana mwenzetu sasa namba ya kuchangiA iko poa
alaf story kama hizi bila picha ni sawa na simba bila moooo
hapana mkuu kuna watu wanapiga mzigo haswa kwa wahindi na wachina wanaondoka na ujira wa 4000 kwa siku na wanapiga kazi saa mbili asubuhi mpaka 12 jioni lakini hawajawa vichaa kwasababu ya malipo duni.Kweli mkuu malipo duni yanaweza kuwa chanzo pia...Mungu amsaidie ila uwekezaji nje ya vipaji ni muhm mno
Duuuh Jamaa kabambikiwa mtoto , Hili ndio limemchizisha mwanaMsanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka
Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo baada ya kuachana na familia yake.
Mkewe alichepuka, akabeba ujauzito wa mtu mwingine wakati akiwa naye, akamuaminisha kwamba mtoto alikuwa ni wake hadi anafikisha miaka sita ndio akajua kuwa mtoto sio wake.
Kwa sasa msanii huyu anaishi Bukoba, mkoani Kagera.