Msongo wa mawazo, ugumu wa maisha wasababisha Msanii Q Jay kuranduka mpaka kuokota makopo

Msongo wa mawazo, ugumu wa maisha wasababisha Msanii Q Jay kuranduka mpaka kuokota makopo

Hiii taarifa iwafikie Stara Thomas, Mzee Yusuph nk. Sio vzuri kuwaaacha Wanadunia mkakimbilia huko mnakoita wokovuni kwa masimaaaaaaaaaango utazan huo mziki wa dunia tunaoupenda hatunaga laaaana et!
 
Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka

Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo baada ya kuachana na familia yake.

Mkewe alichepuka, akabeba ujauzito wa mtu mwingine wakati akiwa naye, akamuaminisha kwamba mtoto alikuwa ni wake hadi anafikisha miaka sita ndio akajua kuwa mtoto sio wake.

Kwa sasa msanii huyu anaishi Bukoba, mkoani Kagera.

kuokota makopo ni ajira mpya iliyoletwa na uongozi dhabiti wa ccm chini ya polepole na jiwe
 
Back
Top Bottom