Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Kwahiyo ww unachangia pichaBila picha hata muweke namba sichangii ,uzuri wa kitenge lazima uvae lemba kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ww unachangia pichaBila picha hata muweke namba sichangii ,uzuri wa kitenge lazima uvae lemba kichwani
Kama unataka picha za vichaa google neno jpmBila picha ni upuuzi na unafiki mkubwa...
Hari huwa mbaya zaidi pale hivyo vyote ulivyo list vimekuzonga.HIV/ unga au stress za maisha kimoja wapo halo kimemfanya alanduke.
Daah mkuu hatari sanaMi nasema, Sintorudi, Kwasababu uliniona Sifai,
Hata uje, Kwa Magoti, Sikubali mi nasema sitaki.
Mimi sina makosa, ila ni weweee,
Kwani ulivyofanya, Wewe Wajuaaaa,
Ukanifanya nilie, niteseke,.................
Na tena ukanikana, bila ya huruma, mbele ya mama yangu hey,
Sio poaaaaa,
Nasemaaaa,
Sirudiiiiiiii tena,
Ulivyoniumizaaa, Yatoshaaaaa
Mtoa mada kama anamsimanga hivi, hidden keyboard zisitufanye kupoteza utu wetu!Hakika...sijui binadamu tumekuwaje yaan
Lazima ulanduke Mara 10 yakeHari huwa mbaya zaidi pale hivyo vyote ulivyo list vimekuzonga.
Daah mwenyezi Mungu amjaalie......ila kuna wakati jamaa aliokoka.Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka
Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo baada ya kuachana na familia yake.
Mkewe alichepuka, akabeba ujauzito wa mtu mwingine wakati akiwa naye, akamuaminisha kwamba mtoto alikuwa ni wake hadi anafikisha miaka sita ndio akajua kuwa mtoto sio wake.
Kwa sasa msanii huyu anaishi Bukoba, mkoani Kagera.
Wiki 2 zilizopita nilikuwa Club MINT bukoba, nilimuona QJay akiruka debe. Kwakweli nilimuhurumia, kimuonekano ni kama msela wa kitaa asiye na mbele wala nyuma, huwezi fikiri amewahi kuwa staa wa muziki. Halafu alikuwa anaruka pekeyake hakuna anayemjali, ukiwa huna hela noma sana maana sidhani hata kama kuna demu anamtaka[emoji23] [emoji23] . Nilikuwa na shemeji yenu tunapata kinywaji tukawa tunamchora tu, nikawa namwambia huyo jamaa aliwahi kuwa staa akawa anakataa[emoji23][emoji23][emoji23] nilipomkumbusha aliimba wimbo Fulani na Fulani ndo akamkumbuka, sema sio vizuri kumpiga picha maana ni kumchoresha zaidi. Halafu kuhusu hoja ya kuwehuka sina hakika, maana kama angekuwa amewehuka hata Club kusingekalikaPicha si vizuri inabidi tumsitiri kijana mwenzetu
Sifai ni wimbo wa QJay pekeyake. Labda unasema NatamaniQuality Joseph "Q Jay"
Huyu MTU nilikuwa namkubali sana, alikuwa chorus killer balaaa.. Kuna ngoma alishirikishwa na Joh Makini , nyingine D-Knob aliua Mbayaaa.
Yote kwa yote Kundi lao la wakali kwanza lililoundwa na Joslyn, Mackmua, na Qjay lilikua ni kundi ukisikia ngoma yao lazima utege sikio. Wimbo wao wa "SIFAI" Mpaka Leo ukipigwa lazima niache kila Kitu ninachofanya nitege sikio.
BTW kila limpatalo mtu ni funzo kwetu
Daaah!Wiki 2 zilizopita nilikuwa Club MINT bukoba, nilimuona QJay akiruka debe. Kwakweli nilimuhurumia, kimuonekano ni kama msela wa kitaa asiye na mbele wala nyuma, huwezi fikiri anewahi kuwa staa wa muziki. Halafu alikuwa anaruka pekeyake hakuna anayemjali, ukiwa huna hela noma sana maana sidhani hata kama kuna demu anamtaka[emoji23] [emoji23] . Nilikuwa na shemeji yenu tunapata kinywaji tukawa tunamchora tu, nikawa namwambia huyo jamaa aliwahi kuwa staa akawa anakataa[emoji23][emoji23][emoji23], sema sio vizuri kumpiga picha maana ni kumchoresha zaidi. Halafu kuhusu hoja ya kuwehuka sina hakika, maana kama angekuwa amewehuka hata Club kusingekalika
Utawapa akili ya kuwekeza kipindi cha JK,Fanya yakoPole yake kijana,lakini pia hili liwe fundisho kwa vijana na wasanii wakipata chochote leo wajitahidi kuwekeza ili ikitokea kwenye sanaa umeyumba huwezi teteleka.