Msongo wa mawazo, ugumu wa maisha wasababisha Msanii Q Jay kuranduka mpaka kuokota makopo

We una huakika gani na hiyo story yako!!
Ni msaidie mtoa hii habari ni kweli kabisa na mmoja wao wa kwenye kundi amethibitisha hilo kwenye e news ya eatv ya kina sam
 
Msanii wa muziki Wa bongo fleva Q jay ambae aliwahi kutamba na kibao cha sifai imeelezwa kwa sasa hali yake ya kiakili sio sawa

Akiongea na bongo 5 msanii mwenzake makamua amesema kwa sasa q jay yupo bukoba kwa sasa amekua kama chokoraa kwani hali inazidi zaidi na anaokota makopo na kuongea na vitu visivyoeleweka.

Akieleza chanzo cha tatizo makamua amesema ni ugumu wa maisha pia na msongo wa mawazo yaliyosababishwa na kuachana na familia take.

Kwa upande mwingine makamua amewataka watanzania wamchangie kwa chochote kile ili aweze kupata matibabu ya haraka.
 
NAKUMBUKA ASHAWAH HOJIWA NA DULLA WA PLANET BONGO LAST YEAR AMEOKOKA NA ANA MTUMKIA MUNGU NA DULLAH ALIMWOMBA APIGE HATA CHORUS ALIKATAA NDO AKAIMBA KIDGO NYIMBO YAKE YA GOSPEL NASHANGAA NAVYOSIKIA KARANDUKA AU MTOA MADA UNATUTENGENEZA
 
NAKUMBUKA ASHAWAH HOJIWA NA DULLA WA PLANET BONGO LAST YEAR AMEOKOKA NA ANA MTUMKIA MUNGU NA DULLAH ALIMWOMBA APIGE HATA CHORUS ALIKATAA NDO AKAIMBA KIDGO NYIMBO YAKE YA GOSPEL NASHANGAA NAVYOSIKIA KARANDUKA AU MTOA MADA UNATUTENGENEZA
Ni kweli kabisa na taarifa zimethibitushwa jamaa yupo katika hali ya uchizi tumuombeeni aisee
 
Kweli mkuu malipo duni yanaweza kuwa chanzo pia...Mungu amsaidie ila uwekezaji nje ya vipaji ni muhm mno
hapana mkuu kuna watu wanapiga mzigo haswa kwa wahindi na wachina wanaondoka na ujira wa 4000 kwa siku na wanapiga kazi saa mbili asubuhi mpaka 12 jioni lakini hawajawa vichaa kwasababu ya malipo duni.
Jamaa alioa akaokoka akaachana na mziki wa dunia akawa anafanya kwenye kampuni flani ya kufunga majukwaa kuna kipindi alifanyiwa mahojiano na dullar kwenye planet bongo ya TV na alikuwa fresh tu miaka kama minne nyuma sasa sijui imekuaje
 
Duuuh Jamaa kabambikiwa mtoto , Hili ndio limemchizisha mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…