NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,004
- 21,312
Yote yatatimia kabla ya mwaka 2024!!hadi Huu mwaka unaisha tutaanza kuyaona mabadiliko mapya!!tusubiri!!Na yaweza chukua muda mrefu sana ila litatokea
Hakika tusubiri.Yote yatatimia kabla ya mwaka 2024!!hadi Huu mwaka unaisha tutaanza kuyaona mabadiliko mapya!!tusubiri!!
Sijibu kwa kiingereza! Alaumiwe Mwl. Kahangwa kwa kushindwa kunipika vizuri kwenye grammar...turudi kwenye mada, assume hizi speculations zina ukweli 89% unadhani huyu Zumaridi atajaribu kuwatetea wanyonge na nchi yao au atalinda nafsi yake kwa kutogusa maslahi ya hawa vampire?After NBC sold Mchonga wanted to reiterate the second term of Lupaso and he told him simply one term is enough for you!!Then what happened!a wine with a venom for leukaemia in his 75 birthday was a good gift for him!!!ON THURSDAY 14TH OF OCTOBER 1999 AT 1:00PM I HEARD A NATIONAL ANTHEM!!MAN DOWN!!!And Mr Lupaso was the masterminder of Mr stones Regime hence it was better to eliminate Mr Lupaso before rolling the stone to its hole!!
It will never happenChapa ya ndege HIYO iliyopata ajali JAL 123 kutokana na repair ilioacha nyufa KWENYE ndege mkiani ufa ukawa mkubwa na kusababisha ajali kubwa Sana!!!The state walipofanya yao repair pale kitalani mabaki ya nyufa hizo yatasababisha nchi itapata ajali kubwa na kuharibika kabisa Sasa 123 Moja,mbili,tatu! Ndege itue chini na kupata rubani mwingine isije ua watu !!!kuna watu watatu watashushwa chini kabla ya rubani mpya hajapewa mamlaka ya kuongoza ndege hii!!watu hao ni 1.Mstaafu ambaye hataki kustaafu na anatawala akiwa nyumbani 2.Lady gaga.3.msaidizi wa Lady Gaga ambaye nae anacheza mchezo wa mstaafu!!!wote chini!!!Men down I say men down!!!
Kutokana na lugha za codes za hapa jamvini kutoka KWA VYANZO vya kuaminika hapa jukwaani kama Magamba matatu,Tumia akili na wengineo inaonekana zumaridi hana MUDA mrefu hapo kitalani tena hivi karibuni anaweza chukua mwingine kijiti!!KWA hiyo MUDA wake hautoshi aidha KWA kutetea wanyonge au kutetea mafisadi!!Sijibu kwa kiingereza! Alaumiwe Mwl. Kahangwa kwa kushindwa kunipika vizuri kwenye grammar...turudi kwenye mada, assume hizi speculations zina ukweli 89% unadhani huyu Zumaridi atajaribu kuwatetea wanyonge na nchi yao au atalinda nafsi yake kwa kutogusa maslahi ya hawa vampire?
JF wajuaji wengi sana, wajuaji for nothing. Eti na wewe upo JF!![emoji16]After NBC sold Mchonga wanted to reiterate the second term of Lupaso and he told him simply one term is enough for you!!Then what happened!a wine with a venom for leukaemia in his 75 birthday was a good gift for him!!!ON THURSDAY 14TH OF OCTOBER 1999 AT 1:00PM I HEARD A NATIONAL ANTHEM!!MAN DOWN!!!And Mr Lupaso was the masterminder of Mr stones Regime hence it was better to eliminate Mr Lupaso before rolling the stone to its hole!!
Una post chache jukwaani.Died a natural death!!?..did mchonga die a natural death?? did lupaso die a natural death?!..man up buddy!!
For him it was a decision from Gaberon which led to his demise!..he was too busy building the country than the Nation..
On his way to the burrial of Mr Lupaso he cried all the way hadi kesho yake akachelewa misa ya mazishi..unajua kwa Nini alilia hivyo?!...
Alijua what next..maana alishaonywa Mara nne kuwa the fate ya maamuzi unayofanya itakugarim...fanya hivi yeye anafanya vile ..na alipofika na kuzid ile threshold basi hakukuwa na namna Zaid ya kuexecute...
Ukipewa heshma ya kuongoza wenzako hata nyumban kwako tumia busara na kiasi..vinginevyo Kama si watoto wako Basi mkeo atakumaliza...
Never say never again.It will never happen
😆😆 Tumia akili ana post ngapi!Una post chache jukwaani.
Tuandike tu NDUGU yangu na tusome tu!!kumbe mstakabali wa nchi yetu upo humu jf!!asee kumbe humu kuna akina Mungu wanaojua maisha ya watu ya baadae na jinsi yatakavyokua duuh...
Huyu mstaafu atampeleka mama pabaya hasa ktk mikataba mibaya kama ile ya awamu yake!Kikwete huyo, nipeni likes
Hapa mnavyotuchanganya mnajiona wajanja sana wakuu, ila ipo siku na sisi tutajua tu.Ndio ndio wote ni watoto kijasusi kwa old CEO!Lazima waingize mtu kinzani wa old CEO tena arabic by faith !!I guess can be a man from island not in our side!!!!Vuai a good choice for me!!!I don't know the state!!!
De'levis kasemaje!Source de'levis humu jukwaani!mzee wa garberon room number 26 &105!!