Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Nina Baba Mdogo yeye alistaafu Serikalini akiwa na miaka 60 mwaka juzi ila kuna Baba Mkubwa bado yupo Serikalini anafanyakazi mpaka sasa!
 
Kheeeeeh makubwa haya tena lol. Khaaaaah
 
Duuuh sio kwa mambo haya mweeeeeeh.
 
Nina Baba Mdogo yeye alistaafu Serikalini akiwa na miaka 60 mwaka juzi ila kuna Baba Mkubwa bado yupo Serikalini anafanyakazi mpaka sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie watu wa DIPU SITETI vipi mbona mmezubaa sana mafuta ya boda huku kijiji elfu ine na mia tano kwenye kachupa ka lita kamoja ka maji ya kunywa. Hamna ndugu zenu wanaoishi kijiji? mliwahamishia ndugu zenu wote huko mnaishi nao? Ahhhhh!! Acheni hizo bwana.
 
Mkeka bado unapumua huu ukitiki tu Tumia aikili atakuja hapa
 
"Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa"

1. Jamaa alishastaafu lakini bado anaendelea kufanya kazi japo watu wanajua alishastaafu.

2. Jamaa aliyestaafu anadedishwa.
 
Hao ni vilaza na mafisadi kama baba zao CCM bei ya mafuta kwao sio muhimu wao wanapenda sana umbeya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…