[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake...
Naunganisha dot uzi hu na uzi wa yoga episode ya mwishoHuelewi nini!!!okh!!JAL 123 ni kizuizi au mtu kuwekwa kapuni asi access ya nje na kuwa na influence!!ribiti au rupture iliyosahaulika wakati...
MKUUnaunganisha dot uzi hu na uzi wa yoga episode ya mwisho
mkuu tusubiri tuone, natafuta hii riwaya episode zote,kn kitu sehemu kiliandikwa nataka nikiunge dot,km kazi imeanza au bdMKUU
Ni KWELI
Japo NAJIULIZA wataweza!!?
Jamaa analindwa na MAJINI nasikia Sasa SIJUI kama watamuweza!!
TUSUBIRI
hahahaha,majini yale aliyopewa ulinzi na sheikh yahya?MKUU
Ni KWELI
Japo NAJIULIZA wataweza!!?
Jamaa analindwa na MAJINI nasikia Sasa SIJUI kama watamuweza!!
TUSUBIRI
KAZI ilishaanza huoni Bt juzi kasema eti mambo ya u Chief yalishaisha!!HALAFU hata sakata la ngoro ngoro kajikosha eti lile eneo ni la wamasai tangu enzi na enzi wakati humu jukwaani inaonekana hiyo Mbuga ni dili lake la upigaji kama kawa!mkuu tusubiri tuone, natafuta hii riwaya episode zote,kn kitu sehemu kiliandikwa nataka nikiunge dot,km kazi imeanza au bd
hujui chochote kuhusu hii nchi.Wenye nguvu nchi hii ni CCM sio hao Deep state kwanza hao Deep state ni makada kindakindaki wa CCM na ili ushike nafasi nyeti za Deep state lazima uwe CCM
Year...22 ni even number,Ameshastaafishwa?
Hao ni wapiga ramli tu hawawezi kufanya lolote ma born town ...LIVE LONG JKHuu Uzi una miezi 6, kilicho tabiliwa akija tokea mpaka leo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Thubutuuuuu yaoAmeshastaafishwa?
Vipi unachojua?hujui chochote kuhusu hii nchi.
Code hiiWakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Really?Thubutuuuuu yao
TrueReally?
Majini? Mbona hata hao TISS wanatumia sana ushirikina. Tofauti ni level tu lakini ushirikina unatumika kote duniani kwenye vyombo vya usalama.MKUU
Ni KWELI
Japo NAJIULIZA wataweza!!?
Jamaa analindwa na MAJINI nasikia Sasa SIJUI kama watamuweza!!
TUSUBIRI
Kunani merekani!!!Team born town each day everyday[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]