Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Naam

Ndio Vangimembe na profesa?
 
MAY ni mwezi wenye herufi 3 kama JAL ilivyo na herufi 3.
12 tarehe ya mwezi husika.
23 ni tarakimu 2 za mwisho katika mwaka 2023.
12/5/2023 iliwakiishwa na kodi JAL 123..

Kama ndivyo, mbobezi ndiye mstaafu aliyestaafishwa?
Njoo na summary ya "JAL 1 is done 2 and 3 are next!
 
Kwani uliambiwa ingekuwa chini ya miaka 3?
Kifo ni LAZIMA kwahiyo kauli yoyote inayozungumzia kifo cha yeyote pasi na timeline na/au namna kitakavyotokea basi kauli hiyo inakuwa haina maana yoyote hususani muda mrefu ukipita! Hivi leo niseme SSH atakufa kabla hajatimiza miaka 100 hiyo ni kauli inayopaswa kuzingatiwa?
 
kifo lazima kivipi? si mmesema wazuri hawafi?
 
Sawa nifikishe salam kwa Jakamoyo msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…