Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Hawa ndio wenye JF yao! Hii comment itasomwa hadi kwenye corridors za Chamwino [emoji6]
 
2020 kwenye thread ya kudadisi kifo cha kipipa (lupaso man), uliahidi kueleza kilichotokea ila sijawahi kuona utimilifu wa ahadi yako.
 
Siyo kwamba alistaafu na kustaafishwa lakini akarudishwa kwa mlango wa nyuma
 
Kwa maslahi mapama la Taifa this should happen.Otherwise nchi itaingia pabaya.

Haiwezekani Taifa zima liwe lina cheza nyimbo za watu 3 kwa maslahi yao binafsi.

We need a new direction. Ambapo lady gaga hawezi kutupereka.

Next assignment ni kwamba je anaekuja atakua na mrengo upi au maslahi ipi. Hao state wanafanya maamuzi kwa maslai ya Taifa au kwa maslai ya Timu flani?

I will be waiting.
 
Huyu mstaafu nchi hii ameichezea sana.
 
Japan Air Lines (JAL) flight #123 ilianguka mwaka 1985 na kuua abiria 520. Kimaajabu, abiria wanne walisurvive

Ndoto ya huyu ndugu labda inataka kusema kuna watu watafyekwa (kwenye kakikundi flani) na wabakie wanne tu.
Itakuwa Awamu ya foo
 
Kweli nmeamini sio kila anayeandika good English ana akili

Kuna wazungu wajinga pia
 
Pumba tupu.!
 
Wenye nguvu nchi hii ni CCM sio hao Deep state kwanza hao Deep state ni makada kindakindaki wa CCM na ili ushike nafasi nyeti za Deep state lazima uwe CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…