Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

Ni mfumo mbovu tu! Ashauri nini? Kwani rais hana washauri mpaka yeye Ashauri? Na hawezi kushauri kimya kimya mpaka anakuwa kimberembere hivi? Nchi kama Marekani marais wastaafu unawaona front kama huyu wetu? Lakini yote hii inatokana na aliyepo hana akili ya kujitegemea ndio maana anattegemea za mstaafu! Nb: watz tukome, hili genge la wahuni Magufuli alilibana sisi wanachi tukaanza kupiga mayowe eti ana wivu na matajiri matokeo yake tumepata hayo magarasa hapo ndio yanatuongoza. Magufuli alikuwa wa kuungwa mkono maana alikuwa anabomoa huu mfumo ila watz ulivyo wapumbavu tukaanza kumpinga. Ngoja mnyoshwe! Ulaaniwe Mabeyo popote ulipo.
 
Back
Top Bottom