Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

Hakisha ukioa unamfir mkeo hii itasaidia maana wakishafir njee ndo ayaa mamb yanatokea
Jomba unaanzaje kumfanyia hivyo mama wa watoto wako? Huo ni ushenzi ambao hata ikitokea umefanya nenda kafanye na makahaba
 
Mimi kama wanataka tugawane jasho langu nitamuachia vyote na sitaenda mahakamani hata mahakama ikiniita, nitakachofanya ni kurudi kwa Shetani kumshitakia dhuluma hiyo kimyakimya.

Mahakama za Duniani ni za kipumbavu sana, haiwezekani mali nitafute mimi kisha tugawane 50/50 ila mali alizotafuta mwanamke eti yeye ni zake zote.
Nakazia hapa
 
Inaumiza sana pale unapoingia kwenye ndoa ukitarajia kuondoka na Mali za mtoto wa watu....mi naona tujifunze kuondoka na wanetu Mali mwachie Mwenye nazo

Cc: DR SANTOS
kuna sisi wengine, katika purukushani za kutafuta maisha tumeingia mpaka kwenye hatari za vifo nje nje...unapoamua kuingia kwenye ndoa, ukathubutu kuonyesha tukucha twako kwa kutaka mali zetu, umeisha chap, kabla hujatimiza adhima yako....

kifupi kama unaingia kwenye ndoa, tamaa ya mali weka pembeni kabisa,...
 
Umewahi sikia mahakama za duniani zinagawa mali za mke kwa mume pindi ndoa inapokufa?
Gadner alitoka mikono mitupu kwa LadyJaydee, lkn ingekua vise versa kelele zingekua nyingi
 
  • Thanks
Reactions: K11
kuna sisi wengine, katika purukushani za kutafuta maisha tumeingia mpaka kwenye hatari za vifo nje nje...unapoamua kuingia kwenye ndoa, ukathubutu kuonyesha tukucha twako kwa kutaka mali zetu, umeisha chap, kabla hujatimiza adhima yako....

kifupi kama unaingia kwenye ndoa, tamaa ya mali weka pembeni kabisa,...
Yeah sure
 
Back
Top Bottom